Hivi kumbe wanawake mnatuchukulia hivi! Da...

Na wanaume jifunzeni kuwabeba na kasoro zao, kama unavyoshika waridi na miiba yake...

Mnatuhitaji kwa sababu sisi ni wanaume (sawa na sisi tunavyowahitaji kwa sababu mu wanawake), but ukimchukua mwanaume, unachukua package nzima, including madhaifu yake...

Madhaifu? kuwatenda wenzenu kila siku...huh!! Akikupiga ngumi- madhaifu, akikesha baa- madhaifu, akitembea na mwanae-madhaifu, akihamia kwa changu-madhaifu, na hata akiamua kuwa shoga-madhaifu tu yakibinadam. THUBUTUU
 
Unapenda kuambiwa ukweli? Haya umeyataka mwenyewe sasa usilie. Wewe ka-Lizzy unatakiwa uache ujeuri. Uko kajeuri jeuri sana wewe. Kila kitu unataka ligi isiyo na kombe.

Halafu uache kubana pua. Umesikia? Haya hebu nenda jikoni ukapike cha jioni.

Hahahaha...kama kweli huupendi ujeuri wangu ntajitahidi kuacha au hata kupunguza tu!!

Cha jioni unataka nini?!
 
Kwasababu hamuaminiki!!

Sio wote...baadhi yenu msio na mshipa wa aibu wala huruma.Hao wote waliojibu naamini wamejibu kutokana na experience...badilikeni mpendwe mpaka mchukie!

asante dada, waeleze ukweli wao.
 
Madhaifu? kuwatenda wenzenu kila siku...huh!! Akikupiga ngumi- madhaifu, akikesha baa- madhaifu, akitembea na mwanae-madhaifu, akihamia kwa changu-madhaifu, na hata akiamua kuwa shoga-madhaifu tu yakibinadam. THUBUTUU
Hapana, sitetei madhaifu au maovu yote ya wanaume, but kuna wanawake walalamishi hata kwa vitu vidogo sana, tena vingine wanasababisha wao.
Imeshasemwa hapa mara nyingi na narudia tena, asilimia kubwa ya watu wanaoenda nje ya ndoa zao, ni kwa sababu ya deficiencies au maudhi kutoka kwa wenzi wao wa ndoa. So we mama (au baba), ukijua mwenzio kaenda nje ya ndoa, kabla ya kuanza mashairi, jichunguze kwanza, tena sana...
 
Ebu elezeni uongo wa aina gani coz mi naona hata nyie wakinadada ni waongo pia
 
Umeona ee! Jamani wanaume badilikeni mkipendwa basi na nyie pendekeni!! Kuweni na huruma jamani watoto wa watu kila siku wanalia, hivi nyie mnajisikiaje?
wakati watoto wa watu 'hawa' wanalia,watoto wa 'watu' wengine pia wanacheka(najua mkilizwa chanzo kinakuwa ni mwanamke mwingine),sasa hamjioni kama ninyi ndio 'wakare' zaidi koz mnatokea pande zote?yaani mnapiga miguu yote kama ronaldo?adui wa mwanamke ni mwanamke(mwenyewe au mwenzake!)
 
Ni maumbile gani hayo we unayoyasema? kutokuwa na huruma kwa wapenzi wenu? Ooh noo....!! by the way, thats not a defence, ebu fikiria kama nyie ndo mngekuwa mnatendwa na kulizwa kila siku mgefurahi tu nakuona ni maumbile yasiyobadilika?

haya we kipipi umetoka lini 'law skul'?na intern ulifanya wapi?nakutania tu mdogo wangu.ila hapo bluu ya pili,mnafanya ionekane as if hakuna wanawake wanaowatenda na kuliza waume zao!binafsi natamani ukweli ulio uchi kabisa kwenye kila kitu,wacheni kutupa lawama kwa ujumla tu kwa wanaume kama ndio jinsi pekee inayokosea.msijumlishe jameni!by the way,kuna exception kwa kila general rule!
 
Kama wanaume wa siku hizi ni waongo,wabaya,iweje uwaandalie msosi na uwamiminie mtindi kwenye glass mamaa?

Wanawake kwa kawaida huwa hawajui exactly nini wanahitaji kutoka kwa wanaume,so,usije ukajidanganya kuwauliza about wanaume,utashangaa!Mwanaume ukiwa mpole sana tabu,ukiwa mkali sana sometimes ndo unakuwa unapendwa kupindukia!Ni kwamba wanawake wanafuata jamii inayowazunguka isemavyo kuhusu wanaume,then na wao wanachukulia hivyohivyo!Mama mtu akisema wanaume wa siku hizi ni waongo sana,na mtoto ana adapt hiyo mentality.Hawasemi mawazo yao binafsi,wanasema yanayosemwa na jamii kwa ujumla!Wanawake wanapenda uongo nao pia,sema inategemea na uongo gani.Sioni sababu ya jamii yetu kuwa na wanawake wenye mawazo hasi kwa wanaume!Wazungu wanasema,"You are what you think,not what you think you are!"
Sasa chunguza maisha ya wote hao wanaodai wanaume ni waongo na wabaya uone kama wana mahusiano mazuri na wapenzi wao!Come on wakuu,hakuna mtu mbaya asiye na zuri hata 1,wanawake mnavyotusema kila siku kwamba sisi ni wabaya,mnazidi kuturoga kwa maneno yenu yasiyojenga!Sasa hata tukifanya mazuri mengi,na kosa 1,bado mtazidi kutusema sisi ni wanabaya!
Ndiyo maana malezi ya wanawake wengi siku hizi yanaharibu watoto,we mama unamuita mtoto wako mbwa,unategemea afaulu mtihani shuleni?????????Siku msifie kwa mazuri ayafanyayo uone kama hatayazidisha!MKISEMA SISI WANAUME NI WAONGO NA WABAYA,MSISHANGAE TUKIZIDI KUWA HIVYO!
 
Sikufahamu Lizzy lakini nakupenda sijui kwa nini.... Inaonekana nina mapenzi ya dhati kabisa.... Tuwasiliane kama hujaolewa....
Kwasababu hamuaminiki!!

Sio wote...baadhi yenu msio na mshipa wa aibu wala huruma.Hao wote waliojibu naamini wamejibu kutokana na experience...badilikeni mpendwe mpaka mchukie!
 
Kama wanaume wa siku hizi ni waongo,wabaya,iweje uwaandalie msosi na uwamiminie mtindi kwenye glass mamaa?

Wanawake kwa kawaida huwa hawajui exactly nini wanahitaji kutoka kwa wanaume,so,usije ukajidanganya kuwauliza about wanaume,utashangaa!Mwanaume ukiwa mpole sana tabu,ukiwa mkali sana sometimes ndo unakuwa unapendwa kupindukia!Ni kwamba wanawake wanafuata jamii inayowazunguka isemavyo kuhusu wanaume,then na wao wanachukulia hivyohivyo!Mama mtu akisema wanaume wa siku hizi ni waongo sana,na mtoto ana adapt hiyo mentality.Hawasemi mawazo yao binafsi,wanasema yanayosemwa na jamii kwa ujumla!Wanawake wanapenda uongo nao pia,sema inategemea na uongo gani.Sioni sababu ya jamii yetu kuwa na wanawake wenye mawazo hasi kwa wanaume!Wazungu wanasema,"You are what you think,not what you think you are!"
Sasa chunguza maisha ya wote hao wanaodai wanaume ni waongo na wabaya uone kama wana mahusiano mazuri na wapenzi wao!Come on wakuu,hakuna mtu mbaya asiye na zuri hata 1,wanawake mnavyotusema kila siku kwamba sisi ni wabaya,mnazidi kuturoga kwa maneno yenu yasiyojenga!Sasa hata tukifanya mazuri mengi,na kosa 1,bado mtazidi kutusema sisi ni wanabaya!
Ndiyo maana malezi ya wanawake wengi siku hizi yanaharibu watoto,we mama unamuita mtoto wako mbwa,unategemea afaulu mtihani shuleni?????????Siku msifie kwa mazuri ayafanyayo uone kama hatayazidisha!MKISEMA SISI WANAUME NI WAONGO NA WABAYA,MSISHANGAE TUKIZIDI KUWA HIVYO!
Asante baba, naona umeamua kuwafungukia...
 
Sikufahamu Lizzy lakini nakupenda sijui kwa nini.... Inaonekana nina mapenzi ya dhati kabisa.... Tuwasiliane kama hujaolewa....
Hahhahhahha...Pipiro asante kwakunipenda mpendwa!!!Na mie nakupenda kwa kunipenda!!
 
Sina hakika Rose, maana mi ni mwanaume, so siwezi kujijaji...

Hata hivyo majibu ya wanawake yalinishangaza, nikajiuliza hivi angehojiwa mke wangu angejibuje?!

Hapo kwenye Blue, pole sana. Sisi binadamu hatuambiani ukweli, wanaume na wanawake wote wanamapungufu. Na yanatofautiana kati ya mtu na mtu... Mke wako angeweza kukusifia sana.. heee kwani hajipendi aseme vibaya labda kama anahakikishiwa usalama wake. All in all tunaishi kwa kuvumiliana na kuchukuliana mapungufu. Ila inafika mahali inaboa sana coz baadhi ya wanaume wana ile mfumo dume flani hivi... hatakaa aombe msamaha, wala aone kakosea... loooooooooooohhhh.
 
Ukweli ni kwamba, kwenye swala kama hili hapa, kila mtu ataongelea uzoefu wake, wale waliotendwa ndio utawasikia wanaume ni waongo, malaya, hawana huruma. wale, waliokaa vema na wapenzi wao, watasema tofauti!

Kwa maana hiyo, lazima uwe tayri kupata mawazo ya pande zote mbili
 
Sawa dada yangu lakini usiombe nazi kwenye mtende... Usiombe wanaume wabadilike wawe zaidi ya wanaume. Vingine mnavyolalamikia kwa wanaume, vimeumbiwa kwenye uanaume wao, havibadiliki...

Havibadiliki vipi? mnajiendekeza tu wanaume, kututongoza wakati mnajua hamna mpango na sisi unataka ukague then uishie zako. Kwa nini msisubiri tuwatongoze wenyewe? Tena wanaume hawana haya mtaani anaweza tongoza hata wanawake 10 na wakikubali wote anawalala bila wao kujua. Au hata maofisini anatongoza huyu, mara huyu mradi uharibifu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Hilo nalo hamuwezi badilika?

Mnatuumiza na uongo wenu, kama mtu huna mpango nae unamtongoza wa nini? kwani lazima kila unaemtamani umlale? tena kwa mauongo meeeeeeeeeeeeeengi na ulaghai kibao.

BADILIKENI UCHAFUZI TU

Samahani kama kuna niliemkera
 
Kama wanaume wa siku hizi ni waongo,wabaya,iweje uwaandalie msosi na uwamiminie mtindi kwenye glass mamaa?

Wanawake kwa kawaida huwa hawajui exactly nini wanahitaji kutoka kwa wanaume,so,usije ukajidanganya kuwauliza about wanaume,utashangaa!Mwanaume ukiwa mpole sana tabu,ukiwa mkali sana sometimes ndo unakuwa unapendwa kupindukia!Ni kwamba wanawake wanafuata jamii inayowazunguka isemavyo kuhusu wanaume,then na wao wanachukulia hivyohivyo!Mama mtu akisema wanaume wa siku hizi ni waongo sana,na mtoto ana adapt hiyo mentality.Hawasemi mawazo yao binafsi,wanasema yanayosemwa na jamii kwa ujumla!Wanawake wanapenda uongo nao pia,sema inategemea na uongo gani.Sioni sababu ya jamii yetu kuwa na wanawake wenye mawazo hasi kwa wanaume!Wazungu wanasema,"You are what you think,not what you think you are!"
Sasa chunguza maisha ya wote hao wanaodai wanaume ni waongo na wabaya uone kama wana mahusiano mazuri na wapenzi wao!Come on wakuu,hakuna mtu mbaya asiye na zuri hata 1,wanawake mnavyotusema kila siku kwamba sisi ni wabaya,mnazidi kuturoga kwa maneno yenu yasiyojenga!Sasa hata tukifanya mazuri mengi,na kosa 1,bado mtazidi kutusema sisi ni wanabaya!
Ndiyo maana malezi ya wanawake wengi siku hizi yanaharibu watoto,we mama unamuita mtoto wako mbwa,unategemea afaulu mtihani shuleni?????????Siku msifie kwa mazuri ayafanyayo uone kama hatayazidisha!MKISEMA SISI WANAUME NI WAONGO NA WABAYA,MSISHANGAE TUKIZIDI KUWA HIVYO!

Hahahaha umenikumbusha hili neno (ukiwa huna wewe bwana gani? na ukitoa ***** mtonzeni) lol
 
Havibadiliki vipi? mnajiendekeza tu wanaume, kututongoza wakati mnajua hamna mpango na sisi unataka ukague then uishie zako. Kwa nini msisubiri tuwatongoze wenyewe? Tena wanaume hawana haya mtaani anaweza tongoza hata wanawake 10 na wakikubali wote anawalala bila wao kujua. Au hata maofisini anatongoza huyu, mara huyu mradi uharibifu tuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Hilo nalo hamuwezi badilika?

Mnatuumiza na uongo wenu, kama mtu huna mpango nae unamtongoza wa nini? kwani lazima kila unaemtamani umlale? tena kwa mauongo meeeeeeeeeeeeeengi na ulaghai kibao.

BADILIKENI UCHAFUZI TU

Samahani kama kuna niliemkera

Kutongoza kwa kudanganya ni characteristic ya mwanaume walioumbiwa nayo, ingawa wengine hawana. Mbona characteristic zingine mnavumilia? Mfano kuwa na ndevu...
 
Wanakimbilia kusema wanatendwaa!!Hivi wao tu ndo wanaotendwa?au ni ile mkuki kwa nguruwe?

Kibayolojia inasemekana kuwa upande wa kulia na wa kushoto wa ubongo wa mwanamke zimekuwa connected na nerve nyingi zaidi kuliko kwa mwanaume. Hii inasadikika ndiyo inayofanya wanawake wawe waongeaji sana kabla ya kufikiri. ndiyo maana unaona linapotokea tatizo wanawake ni rahisi kuongea saana, lakini wanaume hukaa kimya akitafakari kwanza. Kwa mfano mmekaa sebuleni, inakuja ripoti kuwa mtoto wenu amesimamishwa masomo kwa sababu ya kutotii amri za shule. Action ya kwanza utakayoiona kwa mwanamke ni kuongea sana kumlaumu, mtoto, walimu, na kuuliza na kujuta nini kifanyike. Tofauti kwa baba ni kuwa utaona anakaa kimya kwa muda, then ndo atakuja kuongea, tena baada ya kukurupushwa na mkewe, kuwa sasa baba nanihii mbona we unakaa kimya tu?
 
Kutongoza kwa kudanganya ni characteristic ya mwanaume walioumbiwa nayo, ingawa wengine hawana. Mbona characteristic zingine mnavumilia? Mfano kuwa na ndevu...

Tuko bana kwani ndevu mi nakuja kuwa na uhusiano nayo? tunachogomba hapa mtu anakutongoza kwa nguvu, na ari zote mpaka ahakikishe amekupata na amekufunua kisha anatimka zake. Sasa juhudi zote hizo za nini wakati unajua huyu mdada sina mpango nae?
 
Back
Top Bottom