Recent content by ole moipoi

  1. O

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Ni kweli kabisa. Mifumo yote ya kiutendaji ni mibovu. Business as usual Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  2. O

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Hasira kali kweli. Tuwe waungwana wapendwa. Tusifokeane maana humu wote wastaarab Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  3. O

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Naona wewe uko mahali isiyokufaa. Jitathmini alafu urudi kuchangia mada. Utumishi unahitaji ushauri maana hali halisi inajulikana. Anzia thread hii tangu mwanzo utaona thima na hoja ilipo. Wewe una oppose badala ya kushauri unavyojua tuu. Mengine achana nayo Sent from my SM-G532F using...
  4. O

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Umeshasema waki......wezeshwa. kwa sasa hali mbaya mkuu Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Private sector lazima ku deliver. Kwanza kuna makubaliano ya mishahara, vitendeakazi, motivation, guidlines, trainings nk. Serikalini ukiajiriwa unakabidhiwa ofisi ambayo hakuna samani, computer, wala chochote. Ukipata dharura ya kukosa pesa ya kula una ajaza form ambayo inapitia kwa mkuu wa...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Kama mishahara ni midogo na hawaridhiki nayo waache kazi wote. Waliyopo mtaani nao wakapate hicho kidogo Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  7. O

    JamiiForums Tanzania Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

    Balaa huyo mhuni Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  8. O

    JamiiForums Tanzania Fahamu aina kuu mbili za Madeni

    Umenichekesha kweli mkuu. Dah
  9. O

    JamiiForums Tanzania PICHA: Putin aliishi Tanzania 1973 hadi 1977 akiwa kama mkufunzi kwa wapigania uhuru

    Huyu mwamba wasifu wake siyo mchezo. Thanks for googling
  10. O

    JamiiForums Tanzania Tunaomuunga mkono Urusi tusimame tuhesabiwe, Tumechoka na Ubabe wa Marekani na washirika wake EU

    Mmarekani mhuni sana. Waisraeli wamekuwa wanapora ardhi ya wapalestina lakini badala ya kukemea wanaunga mkono uporaji. Waache waoneshane ubabe
  11. O

    JamiiForums Tanzania Nyaraka muhimu kwa Maombi ya Kazi; Barua, CV /Resume na Rejea

    Nenda Google mkuu
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ngazi za mishahara Serikalini - Tanzania (TGS, PHTS, PSS, SAIS etc)

    Aisee kumbe ndio maana rushwa haitaisha. Najiuliza mpaka upande ufikie million si mtu ameshastaafu jamani
  13. O

    JamiiForums Tanzania Ajira serikalini siku hizi ni za kihuni; tuliozaliwa familia za wakulima ni vilio na kusaga meno

    Kwa kweli bila connection nchi hii hupati hata kazi ya kulinda Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
  14. O

    JamiiForums Tanzania Ujasusi na uongozi: Mafanikio ya rais Putin katika kuirejesha tena Urusi

    Mkuu uchambuzi wako mkali. Asante sana
  15. O

    JamiiForums Tanzania Meya Manispaa ya Moshi amelikoroga, aunga mkono ushoga

    Labda nae ni moja wao
Back
Top Bottom