Mashirika Binafsi kwanza monitoring yao iko vzr, lkn watu hawana job security hivo lazima a perform
Hata serikalini wakiwezeshwa vizuri kwa kuwapa watumishi wao vitendea kazi na stahiki zingine na wakiwafanyia monitoring vizuri watumishi hao wataperform vyema na kudeliver kama wa sekta binafsi,hakuna kisichowezekana
 
Private sector lazima ku deliver. Kwanza kuna makubaliano ya mishahara, vitendeakazi, motivation, guidlines, trainings nk. Serikalini ukiajiriwa unakabidhiwa ofisi ambayo hakuna samani, computer, wala chochote. Ukipata dharura ya kukosa pesa ya kula una ajaza form ambayo inapitia kwa mkuu wa idara hadi inafika uhasibu baada ya mwezi then ndio inarudi mpaka ikufikie utakuwa umeshapoteza kila kitu.
Government is very bureauctratic kiasi kwamba kama huna msaada au personal financial strength unakimbia mwenyewe.
Kama nimekosea nakubali kukosolewa kistaarabi

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Absolutely
 
Hata serikalini wakiwezeshwa vizuri kwa kuwapa watumishi wao vitendea kazi na stahiki zingine na wakiwafanyia monitoring vizuri watumishi hao wataperform vyema na kudeliver kama wa sekta binafsi,hakuna kisichowezekana
Ni sahihi, lakn ni lini Serikali yetu itafanya hivi? Mana ni kama kawaida ni kama desturi
 
Isipofanya hvyo isiwalaumu watumishi pale wanaposhindwa kwa namna fulani kutekeleza majukumu yao vyema.

Lini sijui,ila chelewa chelewa utakuta mwana asiye wako.

Watumishi wa umma bado mazingira ya kazi si rafiki sana kwao,unakuta mtu ni Bwana shamba wa Kata yenye vijiji 5-7 hata piki piki tu na vitendea kazi vya msingi ni shida,unategemea huyu atatoa huduma wa wananchi vizuri kweli?

Nchi yetu ni bado sana.
 
Ni kweli kabisa. Mifumo yote ya kiutendaji ni mibovu. Business as usual

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Walimu zaidi ya elfu hamsini (50,000) Tanzania nzima wanatarajiwa kupanda madaraja mawili mfululizo yanayotambulika kama madaraja ya mserereko.

Hatua hii inakuja baada ya mwaka 2016/2017 Watumishi wa umma kupandishwa madaraja lakini kukatokea zoezi la uhakiki hivyo waliokua wamepewa barua hizo kusitishiwa upandaji wa madaraja kwa Waalimu.

Katibu Mkuu wa CWT Deus Seif akiwa mkoani Iringa amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuamua kuwapandisha madaraja mawili Walimu hao waliyoyaita madaraja ya mserereko. #MillardAyoUPDATES
 
Sawa
 
Back
Top Bottom