Recent content by Oldaganje

  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini hapa jamani ushauri wenu

    Nashukuru kwa ushauliwako missa.Sasa nitumia njia gani kumshawishi ili arudi kwani namimi simuhitaji.
  2. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nifanye nini hapa jamani ushauri wenu

    Nilizaa mtoto na mwanamke (miaka 10)iliyopita,kwa kipindi chote hicho kila mtu alikua na maisha yake na hatukua na mawasiliano mpaka mwaka huu nilipopata mawasiliano nakufanikiwa kumkomboa mwanangu ambaye yupo kwa wazazi wangu na aonasoma darasa 3.Yeye alikua anaishi na mwanaume ambaye amezaanae...
  3. O

    JamiiForums Tanzania Naseeb Abdul maarufu kama 'Diamond' ashikiliwa na Polisi kwa muda

    Maisha ndivyo yalivyo kuna kupanda na kushuka.Dogo anapoteza kumakinika na watu
  4. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hawezi kukaa muda mrefu bila kufanya mapenzi

    Hukandamizi ipasavyo dogo,kandamiza chumba akione kidogo uone kama atakusogeleasogelea.Mzuri sana wa kuoa huyo!!!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Askari wa usalama barabarani waliopiga picha ya mahaba wakiwa na sare za Polisi wafukuzwa kazi

    Serikali inatuletea uraiani Majambazi na Malaya
  6. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usaliti katika ndoa

    Hakuna ndoa hapo,kila mmoja ke na me anajua kataftiwa.Mke utafute mwenyewe.siyo mke wa kutafutiwa
  7. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu, uongo ambao wanawake wanatudanganya huu hapa

    Kweli kabisa kwani akilala chali upo juu,akiinama upo nyuma,akichuchumaa upo chini.Ipo ngumu kwakweli
  8. O

    JamiiForums Tanzania Mungu nisaidie nisipate mtoto wa kike

    Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo ukimlea kama wewe ulivyo lelewa ataingiliwa kila tundu lilopo mwilini mwake.Inaonyesha huyo dada amelelewa na mzazi mmoja,ila mtoto alie lelewa na wazazi wote wawili hawezi kutoa kauli kama hiyo.alizaliwa kwenye dangulo huyo dada
  9. O

    JamiiForums Tanzania Njia za kupunguza gharama za ujenzi wa nyumba

    Umesomeka mkuu
  10. O

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wanajamii

    Kuna mzee wangu mmoja hajakwenda kwao kwa miaka 24 sasa yeye anaitwa ELIAS JULIASI MABELE MAGESA Anasema kwao ni Makutano Mazami wilaya Musoma vijini ye ni ukoa wa Mabele Nyalusao Mama ake anaitwa Mwajuma Nyalutila.Jinalake la utoto alikua anaitwa Mbogola.Mwanae wa kwanza anaitwa Swago.Mkewe...
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kivuko kipya MV Dar es Salaam chakamilika kujengwa na kampuni kutoka Denmark

    Na bado barabara za mwendo kasi hazijaanza daraja la kigambon nk zikianza tu wabongo hatukawii kulewa sifa ccm lazima ipite tu mwakani.Chezea kampeni za kimyakimya wewe alaaa
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ameshakula hela yake nyingi, afanyeje aachane naye?

    Patamuu hapo!!,.
  13. O

    JamiiForums Tanzania Historia kuhusu asili, tamaduni na aina za Wachaga

    Hao uliowataja kuwa wameo wachaga,'ukifuatilia utakutana na skendo ya kuumizwa
  14. O

    JamiiForums Tanzania Njia 9 za kuiba pikipiki/ boda boda. Soma ili ujiepushe kuibiwa hivi...!

    Ukivaa kofia hakikisha unaifunga shingoni kwani wezi wengine wanakua kama abiria mkiwa safarini anakuvua na kuigeuza nyuma mbele na kukusukuma yeye mwendo na pkpk
  15. O

    JamiiForums Tanzania Pikipiki aina ya chuma

    Ndugu zanguni wana Jf hasa jukwaa hili la bishara & uchumi. Naomba nisaidieni kwa anayejua uzuri na ubaya wa pikpik aina ya chuma kabla sija inunua. Natanguliza shukran zangu kwenu.
Back
Top Bottom