Recent content by Old Member (Retired)

  1. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Wana CCM tunawaza sana kwakweli
  2. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    kwa hali ilivyo mpaka sasa, Lowassa ndiye raisii mkuu. Najuta sana kuandika ile thread
  3. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    kweli katushika pabaya sana mkuu kwakuwa hata mbinu zetu nyingi anazijua
  4. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    unapoandika mambo ya ajabu ajabu kama hayo ndiyo unasababisha sisi wanaCCM tuonekane hatuna lolote, october 25 Tanzania itachagua raisi wa facebook? kwani CCM ina mgombea wa uraisi wa facebook? acha kudhalilisha chama mkuu
  5. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Asante mkuu, mi nipo CCM lakini naona kabisa kuwa uchaguzi huu tumeshindwa
  6. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Hata ukinitukana haitabadili ukweli kuwa sisi wana CCM uchaguzi huu ni ugumu sana kwetu, ukweli unauma lakini tuwe tayari kuupokea
  7. O

    JamiiForums Tanzania Lowassa utusamehe sisi wana CCM, ni kosa lipi lisilohitaji msamaha?

    Ndugu wanaCCM wenzangu, huu ni ukweli. Tabia ya ukweli ni kuumiza mioyo ya watu, kama ambavyo hapa wanaCCM wenzangu watakapoumia mioyo yao na kuanza kunitukana. Ni hivi, nilikuwa mbishi sana na siku zote nimekuwa nikiamini kuwa CCM tutashinda katika uchaguzi mkuu, nimefatilia kwa umakini...
  8. O

    JamiiForums Tanzania GE2015 Orodha Ya Kashfa Za Mgombea Huyu Ni Hatari Sana Hafai, Ona Nawe Ongezea Nyingine

    Mleta maada naomba nikuulize swali, baba yako mzazi alienda kwenye msiba wa Nyerere? na kama alienda ni nini kiliongezeka msibani? au alienda tu kula pilau. Kwenda msibani si lazima hata wewe hujaenda katika misiba yote inayotokea
  9. O

    JamiiForums Tanzania Boss wa Diamond akubali kushiriki kwenye ushirikina

    Aiseeeeeeee
  10. O

    JamiiForums Tanzania Msaada: Yadi inayokopesha magari

    mkalenda , unafahamu kwanini nchi yetu pamoja na misaada tunayopewa haiendelei??? Ni kwasababu ikichukua mkopo inapeleka kwenye expenses na sio investment. Ingekuwa serikali yetu inakopa kisha ina invest basi suala la budget ya serikali isingetegemea wahisani hata kidogo. Tafakari Kisha Chukua Hatua
  11. O

    JamiiForums Tanzania Mil 3 itafaa grocery?

    Lonelyness , mtazamo wangu mimi ni kwamba tumia sh. milioni moja moja kufungua sehemu tatu tofauti za kuuzia chips hiyo itakusaidia kudiversify risk. Sijui upo wapi, kama upo dar hesabu maeneo mengi minimum ni elfu ishirini hivyo ukiwa na sehemu tatu ni sawa na elfu sitini kwa siku ambapo...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Ni dakika 5 za Lowassa

    Hata akiwa kichaa watanzania tutampigia kura
  13. O

    JamiiForums Tanzania BASATA na TCRA mmulike uchochezi, matusi na tuhuma zisizo za msingi

    Acha kumbania namba hiyo Kaka bana
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa Masters UDOM achomwa kisu

    Huyo muuza chips kila anachokiona ye anafikiri ni kiazi.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanasombwa Bwenini kwenda kwa Magufuli Leo

    hahaha........... Michanga inaelekea mkutanoni
Back
Top Bottom