Recent content by Okinawan

  1. Okinawan

    JamiiForums Tanzania Ni nini sababu ya binadamu kuletwa Duniani?

    Ule 🔥 moto aliumbiwa ibilisi/shetani na malaika zake waovu ila mwanadamu ataenda motoni kwasababu anafanya mambo yale yale aliyoyafanya shetani na malaika zake ambayo yalikuwa chukizo kwa Mungu.
  2. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume usimuanike mpenzi wako mitandaoni

    Kila uhusiano unaudhaifu wake kwahiyo kuna watu kazi yao ni kusoma udhaifu huo, kwahiyo ukilega kidogo tu watu wanapita nae pia msisahau kuwa pesa ndio jibu la mambo yote
  3. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tangu nimuoe hataki tufanye tendo la ndoa nyakati za mchana

    Sikuhizi si mnajifanya mnarekodi hapa ni mwendo wa giza tu Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
  4. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niwatie moyo "single mothers"

    Kwahiyo kwa muda wote huo mlikuwa mnafuatilia maisha ya huyo mwamba
  5. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu mwenzangu kafariki kisa ndoa

    take love as a game if you lose it's ok and if you win it's ok, never take it so serious
  6. Okinawan

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kutumia mchango wa harusi kujenga nyumba

    kwani wakati unalialia kuomba pesa ya mchango uliwaambia ni mchango wa kujenga au wa harusi na pia katika hao waliokuchangia jua Kuna watu hapo hata kiwanja hawana kwahiyo usiwavunje moyo au kuwaona wenzio wajinga.
  7. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jifunze kitu hapa: Hii hapa Taarifa ya mwanaume aliechomwa moto na mwanamke wake (mchepuko)

    "aziniye na mwanamke hana akili kabisa afanya jambo litakaloangamiza nafsi yake" hayo ni maneno ya biblia sijui kwenye kitabu gani vile nikumbusheni jamani
  8. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wababa wanalalamika sana kutengwa na watoto wao kimawasliano hata kiuchumi. Je, shida ni nini? Wamama mnaliongeleaje hili? Watoto mnafanya haya kweli?

    kwa kifupi usitegemee furaha yako itoke kwa mwanadamu ukifanya hivyo utajuta,ukitegemea watoto waje wakupe furaha nadhani utaishia kuwalaumu sana na hata kuwaingilia kwenye mambo yao ,hao wamama wanaopendana na watoto wao ndio chanzo kikuu leo hii ndoa nyingi kuvunjika utasikia " akikusumbua...
  9. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Woman love Risk Takers

    take risk,attract them,f*** them and just leave them don't carry a burden that your body can't carry
  10. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Take care of nice Women

    Beyond 35 it is like inviting drama and series in your life. hao ndio wanawaitaga shangazi they can do anything to trap you and if you fell on their trap you are finished, yaani wanaganda balaa na wanaweza fanya chochote hata kukuharibia pale unapoachana nao.Hapo kwenye hilo kundi ndio kuna...
  11. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anaamini njia ya kurudisha fadhila kwa mwanaume aliyemsaidia ni kumpa penzi

    mpelekee moto but play safe brother
  12. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

    unafeli brother piga chini huyo ke
  13. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nguvu ya Punyeto na kujichua katika Ulimwengu wa Roho

    Kwahiyo wapiga nyeto hawafanikiwi?
  14. Okinawan

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yangu anashinikiza mama aondoke nyumbani, kisa kuhudhuria vikao vya chama

    Kwanini we na bimkubwa msihamie pale lumumba au vyumba vimejaa
Back
Top Bottom