Zile tuhuma za kushiriki kukiuza Chama kwa Nyeupe hadi leo hajakanusha. Tumwamini yeye ni nani? Mchumia tumbo mkubwa huyu, kama wanasiasa ni wanafiki huyu ndo babu wa unafiki. Hachelewi kuyatakasa matapishi yake na kuyala huyu! Hivi leo Tundu Lisu amekuwa ni mtu wa kumsifia Kikwete? Naanza...
Watu kama Lema, Sugu, Mdee wasipoitwa nonsense waitweje? Hivi unapoongea vitu visivyokuwa na mashiko, kiingereza chake tabia hiyo itaitwaje? Au kwako wewe "nonsense" ni tusi?
Upinzani umeishiwa charge! Tundu Lissu naye kawa bubu hasa katika bunge hili ambalo Dk Tulia ni Naibu Spika. Inawezekana kuwa huyu Lissu ni kilaza eeeh?. Mbona kwa Makinda alitamba?
Hivi Mbowe ana elimu gani? Kama huyo ndo engine ya wapinzani TZ basi safari ya wapinzani ni ndefu saaana! Hoja hupingwa kwa hoja, hivyo wapinzani kujinunisha na kuondoka bungeni utoto huo hadi lini? Ivi bunge pia linafanya majukumu sawa na Vyuo au shule kuwaelimisha baadhi ya...
Ungetutendea haki kama unge -declaire interest yako kuhusiana na hii ishu!!! Inavyoonekana unayajua mengi lakini umechagua ya kuandika kwa faida yako mwenyewe wala si kwa jinsi ukweli ulivyo! Sisi wote tunaishi katika jamii moja!, hata hivyo yapo mambo hujayaeleza sababu yaweza kuwa umeamua kwa...
Chadema? mmmmmmh! dhambi ya usaliti itawatafuna saaaana! Watabadili gia angani hadi gia zote ziishe! Yani hao jamaa nawaona bado kabisa. Kwa mwendo wao wa sasa, labda uwezo wangu wa kufikiri upungue saana, labda ndipo watanishawishi; tofauti na hapo wajipange saaaana!
niseme hivi au niandike hivi? Its a continous process! if your teacher is your role model, go and ask him/her whether am wrong.....! then come back for arguments, perhaps.........!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.