Stabilaiza
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 1,843
- 1,143
Kuna msamiati mwingine ameukazia, huu niliusahau: "Mtukufu"
sasa ya huyu ni kakamavu mbon ni legelege kuliko hata ya JK serikali haijastabilise baada ya miezi kumi na sita unaita serikali au makirikiriKweli siasa ni mchezo mchafu zaidi ya mchezo wowote Duniani. Na hasa ukikuta wananchi wa nchi ya watu wasiyo na kumbukumbu kama tz ndiyo basi tena.
Wakati wa utawala wa kikwete huyu huyu tundu Lisu alikuwa kila akihojiwa kuhusu serikali alikuwa akisema serikali ni legelege na kwamba nchi ilipofikia inatakiwa ipate kiongozi Dikteta. Na kwamba serikali haina meno.
Sasa hivi tena huyo huyo tundu ndiyo analalamika serikali ni kandamiizi. Kweli hii ndiyo Tanzania. Mtu anakula matapishi yake watanzania tunashangilia.
Na huyu huyu tundu aliwahi kusema jpm anafuata sera za chama chao cha cdm katika uongozi wake awali wakati anaanza kutumbua majipu. Wana wa nchi tufuate lipi hasa!!!
Wewe sijui hata kama unajitambua. Nimekujibu kukuasa karibu kujirudishia akili zako.
Utaishia kujijibu mwenyewe. Mpaka kuyaona hayo maneno ni msamiati mpya ilikuwa ukiishi wapi usiweze kiyasikia na kuyatumia kabla?
Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.Ukweli lazima usemwe. Siku hadi siku Tundu Lissu ameendelea kujipambanua miongoni mwa wanasiasa kwa kutoa mchango mkubwa katika siasa za Tanzania. Zaidi ya mchango wake katika jamii, bungeni na katika chama chake, Lissu amechangia kwa kiwango kikubwa msamiati wa siasa katika nchi yetu. Baadhi ya msamiati ambao Lissu amechangia ni pamoja na dhana ya dikteta uchwara (Proto-fascism) na mfungwa wa kisiasa (political prisoner). Kwa msaada wa taarifa katika ulmwengu huu wa utanzawazi, dikteta uchwara inamaanisha kuwa ni utawala unaoelekea kuwa wa kidkiteta. Watawala wanaoitwa ma-Fascist ni wale ambao hupenda kutoa miongozo kandamizi na ya kikatili kwa wananchi wake.
Hivi karibuni, Lissu ametoa msamiati mwingine: Mfungwa wa Kisiasa (A political prisoner). A political prisoner is someone imprisoned because of opposing or criticizing the ideas and actions of the government. Political prisoner is one who is imprisoned for his or her participation in political activity. Zaidi ya msamiati huu, pia Mh. Lissu pia ameanza kutumia msamiati wa "Mtakatifu" katika siasa za Tanzania. Si vema to take for granted mchango wa Mheshimiwa huyu katika siasa za Tanzania. Mchango wake na utambulike sasa na watu wote.
Ccm ndio mlianza kumsafisha.Chadema tokea wamsafishe fisadi Lowasa hawatakuja kuaminika tena mbele ya macho ya watanzania.
Watabaki kushabikiwa na malofa tu.
Nasasa watanzania hakuna tena,sisi tutapataje kujenga ofisi.masimango tu!Ofisi zote za ccm zilijengwa na watanzania enzi ya chama kimoja.Kujidanganya kuwa ccm ina ofic ni kutudhihirishia kuwa wewe umezaliwa miaka ya 89,kukusaidia kaa na wazee ujuzwe na uongezewe maarifa.
Ccm vitu vyote wanavyotumia walipora kutoka kwa umma.Hii imepelekea kuwa na woga wa kuachia madaraka.
Usichangie usilolijua kaa kimya.
Mtakwepa sana matone ya mvua. Lakini kamwe huweze kukwepa matone mvua.anaeongolea mafisadi,aende akamuulize mwakyembe na mahakama yake ya mafisadi,je mafisadi wapo au hawapo??mwakyembe atampatia majibu sahihi..
Hiyo -ekundu ni nini?naomba niendelee kuwakumbusha, japokuwa habari hizi huwa haziwavutii wengi wenu..Magufuli tutaendelea kumuona Ikulu hadi 2025
Mungu akimuweka hai..
Zitto ni nani?? Mchezaji wa yanga eti??Mie naona Zitto ametia fora tangu mwaka huu uanze.....jino kwa jino
Kwani Tundu Lisu ametangaza hakuna njaa?hivi kwan yy tundu lisu kwani si anakula kwa kodi zetu au!mbunge anapata msharaha mkubwa,posho kibao,mafuta nk!,kweli mkuu kusema hakuna njaa kakosea ila na LISU nae alitakiwa aangalie point ya kuangalia kumshambulia maana ishu ya kodi mbma lema tunamlipa mshahara kwa kodi zetu afu yupo ndani!