Recent content by okellecky

  1. O

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi, Azania Bank

    sorry Amante, waliita position gani? nailikuwa writen au oral?
  2. O

    JamiiForums Tanzania Nafasi (101) HRM OFFICE II na zile AUDITOR II (100) za utumishi washaitwa kwenye usaili?

    Samahani nlikuwa namaanisha Human Resource Officer Grade II . Nafikiri tumeelewana sasa!
  3. O

    JamiiForums Tanzania Nafasi (101) HRM OFFICE II na zile AUDITOR II (100) za utumishi washaitwa kwenye usaili?

    Habari zenu wanajamvi, hope muwazima kwa kudra za mwenyenzi Mungu! Kwa anaejua kama kichwa cha habari kinavyosomeka hapo juu naomba anijuze! Natanguliza shukrani.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Nimfanyeje huyu mzee?

    Dude u must separate a b'ness 4m an entity!
  5. O

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la mshahara 2014

    naomba uliza, eti mwalimu mwenye degree moja anaefundisha sekondari analipwa shilingi ngapi? na aliyeishia 4m4 akasoma ualimu grade "A" na anafundisha shule ya msingi analipwa shilingi ngapi?
  6. O

    JamiiForums Tanzania msaada tafadhali

    hi' wana jamvi! samahani kwa anayefahamu mshahara uchumi supermarket wanalipa kiasi gani kwa customer service & cashier naomba kujuzwa. Na mfumo wa interv zao upoje?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Team ya wapiga deki mpooo!

    yule wa k......i, au wa 2liver haahaa...., tuliver na tumbavu twangu tunauma kwa kucheka maana jamii forum nizaidi ya stress free zone aisee! (just joking)
  8. O

    JamiiForums Tanzania Team ya wapiga deki mpooo!

    haahaa, afu na yule shoga ako nmemwona kaanza kujipiga deki skuizii!
  9. O

    JamiiForums Tanzania PPF interview pale DUCE

    ok ok ok....
  10. O

    JamiiForums Tanzania Interview tarehe 18

    ever got bored out here, bwahaahaa
  11. O

    JamiiForums Tanzania PPF interview pale DUCE

    yamebandikwa kwenye notesboard ya wapi mkuu, nikwawale waliofanya written wiki iliyopita pale UCC ndowanaita oral sasa au? naomba kujuzwa.
  12. O

    JamiiForums Tanzania Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

    cant wait 2see u jamani, vp hayo mafuta ya olive oil niyamgando au ya maji samahani kwakuuliza nataka nimnunulie na wifi ako! vp yanalainisha kipilipili au.
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu ananizidi umri!

    H.O.E hiv yule shem wetu aliekuzidi 10yr mmefikia wapi jamani? au ubweche teyar umeninyima maana na hamu nao.
  14. O

    JamiiForums Tanzania PPF wameita interview

    vp mmepigiwa simu au mmetumiwa email?
  15. O

    JamiiForums Tanzania Oral interview Technobrain, wameanza kupiga simu?

    one man down! hongera mloitwa.
Back
Top Bottom