Urembo wa nywele za wanawake na haiba yake katika mahusiano

Nashangaa wanawake wenyewe hawaelewi Kila siku harufu kwa kukaa na bichwa halijaoshwa Mwez mzima Kila siku ni kupuliza marashi, Jua likiwaka tuna shida kwenye madaladala
 
ipe roho kitu inaataka ikitaka kunyoa nyoa ikitaka kusuka suka ikitaka kusokote kama wavuta bangi wa arusha sokota as long as uhuru is conerned no problemeee!!!
 
kila kitu feki siku hizi

wanaume wengine ubahili ndo unawafanya wawazuie wapenzi wao kusuka kutoa hela ya saluni kila wiki au mwezi kwake ni msamiati kwa kweli viumbe kama hawa wapite kushoto waende kwa amani tu!!
 
wananwake wasioendekeza mikorogo na wanaosuka nywele zao ki asili bila kuzuzuka na mawigi, mikatani, huwa na mvuto wa kipekee, na ndio wanaohitaji kupongozwa kwa kujivunia uafrika wao na kumtukuza Mungu kwa kukubali maumbile waliyobarikiwa kuumbwa.
 
Msuko wa kwenye picha unaendeka kazini kweli??....
All in all no matter the hairstyle ukiwa msafi nywele hazitatoa harufu hata siku moja..
 
wanaopenda bandika nywele kwa kupenda kuhongwa haooooooooooooooooo, vipara wanajiamini sana ,wenye dreads kweli ni wababe,waves wanadeka sana.
ni mtazamo tu!

For sure... Ukiona mwanamke kanyoa kipara kwanza anajikubali na pili anajiamini....

Baaasiiiiii......
 
Low cuts kwa wadada wengi ni ishu. Wengi wana vichwa vibayaaa wakikata nywele wanaonekana vituko. Ila swala minywele ya bandia uwa sili afiki saaana. Sijui tu nikioa uyo mwanamke itakuwaje

Hezbend... Hebu funguka leo, hivi hiki kipara huwa kunanipendeza au kinanichukiza???
 
IMG-20140310-WA003.jpg
 
Thanks God saiv najikubali the way I am, kipilipili changu aisee nakipaka olive oil kinang'aajee???

Awali nilikichukia sana nikawa natafuta any means kukificha but mwisho wa siku nikaona ulimbukeni tu. Nywele unaihangaikia weeee haikui wala ninj khaaaaa!!!!!

Tupa kule wacha chogo ling'azwe na upara......

C.C walokuwa party!!!!!

cant wait 2see u jamani, vp hayo mafuta ya olive oil niyamgando au ya maji samahani kwakuuliza nataka nimnunulie na wifi ako! vp yanalainisha kipilipili au.
 
Vpi nywele halisi zilizokua relaxed??nazo zote ni team nywele bandia amaa??
Hiyo post yangu uliyokwote niliiandika zaidi ya miaka nane iliyopita na wala haikuwa na uhusiano na nywele za wanawake; imekuwaje hapa?
 
Siku hizi wanawake wetu wanashindana kubandika manywele ya bandia ili wawe na nywele ndefu zilizodondokea mgongoni...

But wapo watu, mimi nikiwemo huwa napenda kuona mwanamke akitoka na nywele zake fupi na kazisuka mitindo ya enzi na enzi kama hivi.....very beautifull

DSC03173.JPG
cc. Nicas Mtei .........
Umenipata shem? nazikumbuka sana comments zako, ha haaaaaa
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom