Recent content by OIN

  1. O

    JamiiForums Tanzania Hasira ya Mungu imeshuka juu ya LOS ANGELES, inateketea Kama Sodoma Na Gomora

    Hapana, fikiria tena
  2. O

    JamiiForums Tanzania Tumeshinda lakini tunaogopa

    Simba amenyinywa penalty
  3. O

    JamiiForums Tanzania Kama KMC tu imekutoa jasho na bado unajinasibu unayo timu bora, ni kichekesho kingine

    Unavyosema hivyo utafikiri mpira ulichezewa chumban,mpira ulikuwa wazi watu wameona,hata wangecheza na Yanga wangefungwa tu.
  4. O

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa SIMBA SC mnazingua.

    Ingekuwa Yanga imefanyiwa hivyo lawama zote kwa TFF na Kalia.
  5. O

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Uwanja wa Benjamin Mkapa, Gordon Nsajigwa atumbuliwa, Sasa kupangiwa Majukumu mengine

    Msifiche ukweli kisingizio jeneza wakati mnajua manara aliwezaje kufanya kazi siku hiyo ya 6 na wao Kama wasimamizi wapo?
  6. O

    JamiiForums Tanzania The dark side of general Mabeyo

    Unajua kazi za kijeshi alizofanya CDF? Mpaka useme unampa credit tu wakati Rais Samia anaingia madarakani?
  7. O

    JamiiForums Tanzania Tujipe pole wana-Simba

    Tattizo kocha,huwezi kuanza na kikosi kile
  8. O

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunahitaji Jaji Mkuu mpya kutokana na yanayoendelea kwenye Mhimili wa Mahakama?

    Hata ingekuwa wewe ,unasema tu Sababu uko nje ya huo mhimili,hata aje Nani lazima afate maelekezo
  9. O

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kabisa ,akili ndogo unakuta wanarukia Mambo
  10. O

    JamiiForums Tanzania TUCTA, kudai 'vyeti feki' warudishwe kazini ni aibu!

    Connection
  11. O

    JamiiForums Tanzania Makamu Rais wa Marekani, Kamala akutwa na maambukizi ya Uviko-19 licha ya kuchanja mara mbili

    Unafikiri makamu wa Rais hakuwa vaccinated?
  12. O

    JamiiForums Tanzania Mwisho wa safari ya matumaini Simba SC

    Usitupe pressure mechi iko live
  13. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la waamuzi Africa limekosa tiba au ni udhaifu wa CAF

    Ngoja nicheke tu ,maana watu wanasumu moyoni.kama jamaa mmoja kasema nipige nikufie.
  14. O

    JamiiForums Tanzania Mheshimu sana mtu ambae hana ajira na anayamudu maisha ya kitaani

    Huwezi kujitangaza kila unachofanya ,huwezi jua Ni mtumishi wa serikalini anakuchora tu.
  15. O

    JamiiForums Tanzania Kuchanganya siasa na soka, Simba wametukosea sana Watanzania

    Labda angekuwa rais was awamu ya nne wasingeoa Ila tz mmmm
Back
Top Bottom