Mhe Rais Magufuli,
Ni mapema mno kusema lolote kwa sasa LAKINI naomba niseme in advance. Tunajua kuwa Mhe. Kafulila amefungua kesi Mahakama Kuu huko Tabora kupinga matokeo ya ubunge katika jimbo lake. Endapo hatafaulu katika rufaa hiyo, nakuomba kwa kutumia mamlaka yako ya kikatiba uturudishie...
Ukijiuliza utapata majibu. Nani amekuwa nyuma ya kura fake ambazo zimekuwa zikikamatwa kipindi cha uchaguzi? Je Usalama wa Taifa hawajui kabisa ni nani ambaye amehusika na "USHENZI" huo? Hivi Rais Kikwete hajui lolote kuhusu kura hizo ambazo zote zilizokamatwa zimeonekana kumpigia Pombe...
'I see! The Preaching had such a STRONG MESSAGE IN It. THAT IS THE KIND OF PRIEST WE NEED".
You have said it very right. That's the kind of preaching needed for our time. Some Bishops and church leaders have been bribed to support evil in our country. I don't see how a religious leader can side...
Wakwere ni kabila dogo sana. Huyo ambaye leo ni Rais kafanya nini la maana kwa miaka hii inayoelekea kumi? Wala sijui vision yake iliyomsukuma kuutaka urais ilikuwa ni nini? Labda kama ni ufisadi basi kafanikisha. Nothing else...
Kuna hili la sukari nalo. Juzi Mkurugenzi wa Superdol aliitwa Ikulu ili aombwe afanye kila liwezekanalo eti bomu hilo lisifike Bungeni! Kama mnakumbuka huyo ndiye anamiliki Kagera sugar na hivyo viwanda vya sukari vya Morogoro. Mie nasubiria kuona vile mchezo utakavyoenda bunge lijalo. Ila CCM...
Alitumia udini kuingia madarakani kwa kutoa ahadi za udini za Kadhi na OIC. Hilo wenye akili wanalijua. Amewaondoa watu wengi wa imani nyingine na kuweka watu wa dini yake. Ubaguzi wa elimu chuo kikuu cha Dodoma ni ushahidi tosha. Yako mengi mabaya ambayo amefanya ambayo yatajulikana...
Hiyo ni lugha ya mwizi aliyebobea. Najaribu kulinganisha nidhamu aliyokuwa nayo wakati wa kugombea urais mara ya kwanza na alivyo sasa. Kila mtu anajua kuwa hata urais hakushinda kwa haki bali alidhulumu ndiyo maana hakuna jipya lenye kumpa heshima au sifa ambalo amelifanya. Ameturudisha nyuma...
Juzi wakati Rais Obama alipotembelea Ulaya, aliwapa NATO $ 1 Bil kuwasaidia kwa ajili ya kupambana na ISIS. Hiyo pekee ni message kuwa Marekani wako vizuri kipesa. Hata hivyo nchi kama China na Ujerumani zinafuatia katika kuwa na chumi zenye nguvu. Viwanda vingi vilivyo nchi kama China, Mexico...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.