Kuna watu wanapandikiza udini

Kuna watu wanapandikiza udini

Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?

CCM
Mwenyekiti - Jakaya Halfzn mrisho kikwete
katibu mkuu -Abdul-Aman kinana
Katibu -itikadi na uenezi - Nape Nnauye
MwekaHAZINA - Zakia meghji
Mwenyekiti - Uvccm - SADIFA
Mwenyekiti wa WAZAZI - Abdallah Bulembo
Mwenyekiti - UWT(Wanawake) - Sophia Simba
Katibu -siasa na mambo ya nje -Asha Rose Migiro
nhii ndiyo safu mahiri ya ccm,,kwa kutaja wachache tu.

ndg yetu tunaomba ufafanuzi kuhusu safu hii
 
Mkianza mawazo ya udini hayataishia hapo itaanza je kama ni mkristo/muislam anatoka madhehebu gani . Mkimaliza habari ya dhehebu mtakuja kuuliza je anatoka ukoo gani ............................................
 
Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?

Angalia na marais wa Tanzania na Zanzibar, wako watano na wote wagonga kichwa chini
 
ccm si chama cha kikristo wala kiislamu, ni chama cha kishetani na ndiyo maana viongozi wake hawana uadilifu hata kidogo. Kuiba kwao ni halali, kuua raia ni halali. Hakuna msafi ndani ya ccm. Ukiwa ccm, huna hofu na mungu kwasababu ccm hawaamini uwepo wa mungu bali shetani.

big like
 
Samahani mkuu naomba unifahamishe hili; JE CCM NI CHAMA CHA DINI GANI!? KIKRISTO, KIISLAMU!? NIFAHAMISHE TAFADHALI!

Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?

Ndio maana tunasema UKAWA ni tumaini letu kwani vyama vya kiislam na kikristo vimeungana sasa dhidi ya chama cha shetani CCM.
Nilikua sivipendi vyama vya upinzani hasa CDM lakini UKAWA imenipa matumaini ya kumwondoa mwovu shetani CCM aliyemwaga damu za watu wengi wasio na hatia na kukalia haki za wengi kwa kufuru nyingi.
Damu ya mwisho isiyo na hatia ni ya Dr.Mvungi .Hii damu itaiandama CCM mpaka kiama.

UKAWA ni tumaini letu watanzania.UKAWA itaondoa udini,ukabila,maadili mabovu ya utumishi na ufisadi unaoambatana na mauaji.
 
CCM
Mwenyekiti - Jakaya Halfzn mrisho kikwete
katibu mkuu -Abdul-Aman kinana
Katibu -itikadi na uenezi - Nape Nnauye
MwekaHAZINA - Zakia meghji
Mwenyekiti - Uvccm - SADIFA
Mwenyekiti wa WAZAZI - Abdallah Bulembo
Mwenyekiti - UWT(Wanawake) - Sophia Simba
Katibu -siasa na mambo ya nje -Asha Rose Migiro
nhii ndiyo safu mahiri ya ccm,,kwa kutaja wachache tu.

ndg yetu tunaomba ufafanuzi kuhusu safu hii

Huku hawapaoni,
 
CCM si chama cha Kikristo wala Kiislamu, ni chama cha kishetani na ndiyo maana viongozi wake hawana uadilifu hata kidogo. Kuiba kwao ni halali, kuua raia ni halali. Hakuna msafi ndani ya CCM. Ukiwa CCM, huna hofu na Mungu kwasababu CCM hawaamini uwepo wa Mungu bali shetani.

Ahsante sana mkuu nimekuelewa vizuri sana!
 
CCM
Mwenyekiti - Jakaya Halfzn mrisho kikwete
katibu mkuu -Abdul-Aman kinana
Katibu -itikadi na uenezi - Nape Nnauye
MwekaHAZINA - Zakia meghji
Mwenyekiti - Uvccm - SADIFA
Mwenyekiti wa WAZAZI - Abdallah Bulembo
Mwenyekiti - UWT(Wanawake) - Sophia Simba
Katibu -siasa na mambo ya nje -Asha Rose Migiro
nhii ndiyo safu mahiri ya ccm,,kwa kutaja wachache tu.

ndg yetu tunaomba ufafanuzi kuhusu safu hii

Mkuu kwa safu ya orodha hiyo, wanataka kutuambiaje Je, CCM ni ya WAKRISTO au WAISLAMU!? Kwahiyo kwa safu hiyo CCM ni Chama Cha Waislamu!? Bila shaka ni Chama Cha Kidini, yaleyale waliyowaambia CUF mwaka 2000 na CHADEMA mwaka 2010 na sasa wanakula matapishi yao! Ni muendelezo wa unafiki na hila! Hata hivyo ahsante mkuu kwa taarifa!
 
Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Je Makamu Mwenyekiti mbona hujamtaja hapa na dini yake?
 
Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?

Mwana, kuna watu wanasubiri maelezo yako kwenye safu ya CCM. Je CCM kwa safu ile tuite chama cha kiislam?
 
Angalia na marais wa Tanzania na Zanzibar, wako watano na wote wagonga kichwa chini
Hawa jamaa zangu waislamu wanahofia udini na hali nchi iko chini ya muislamu. Sijui hawamwamini?
 
Ukitaka kujua chama ni cha kidini au kikabila usipate shida angalia safu za viongozi wake hasa wa juu wa CHAMA.

Hebu angalia CHADEMA

mwenyekiti-Mkristo
katibu mkuu-Mkristo
Mweka hazina-Mkristo
MWENYEKITI BODI YA WADHAMINI MKRISTO
Mwanasheria mkuu-Mkristo
Kiongozi wa BAVICHA-MKristo
Kiongozi-BAWACHA-MKRISTO
Kiongozi baraza la wazee-mkristo

Nenda CUF
mwenyekiti-MUISLAMU
kATIBU MKUU- MUISLAMU
Mkuu WA haki za binadamu-muislamu
Mkuu wa fedha-muislamu
mkuu wa usalama-muislamu
mkuu wa uchaguzi -muislamu
mkuu wa kina mama-muislamu
mkuu wa vijana-muislamu

Kwa hali hiyo utasemaje chama ni cha kidini au siyo?

Kama nyie ndio watetezi wa CCM basi mtaendelea kuiachia hii nchi hatua kwa hatua.Mmeshindwa kuongoza watu kufikia maendelea mnabaki kuhubiri Udini na Ukabila.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom