Recent content by Offish

  1. Offish

    JamiiForums Tanzania Mbowe kuiuza CHADEMA kwa mafisadi

    Soma vichwa vya habari vya AlNur
  2. Offish

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Pinda walimuonea Dr. Magufuli! Waliongea naye kabla ya kumzuia kwenye bomoa bomoa?

    Kikwete’s directive to stop demolition sparks debate The recent order by President Jakaya Kikwete to the Works minister regarding the on-going demolition of structures along road reserves has drawn mixed reaction from different sections of the society. Early last week, President Kikwete directed...
  3. Offish

    JamiiForums Tanzania Kikwete na Pinda walimuonea Dr. Magufuli! Waliongea naye kabla ya kumzuia kwenye bomoa bomoa?

    Kikwete's directive to stop demolition sparks debate The recent order by President Jakaya Kikwete to the Works minister regarding the on-going demolition of structures along road reserves has drawn mixed reaction from different sections of the society. Early last week, President Kikwete directed...
  4. Offish

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CCM nchi Nzima yaja

    Aliomba u-Rais akitarajia atakuwa bwana harusi wa kuzungukwa na wapambe kwa miaka 10 bila kufanya kazi ngumu, sasa maji yamemfika shingoni. Toka ari, kasi na nguvu mpya na kisha ari, kasi na nguvu zaidi hadi kukiri kushindwa hadharani!!! Aibu....
  5. Offish

    JamiiForums Tanzania Magafuli mbumbumbu? Foleni ya leo Morogoro Road

    Si bure, una lako jambo. Nadhani heri ya magufuli mchapa kazi kuliko kuwa na mtu anayedhani kuwa mkuu wa kaya ni sawa na kuwa bwana harusi ukizungukwa na wapambe bila kufanya kazi miaka 5!
  6. Offish

    JamiiForums Tanzania Kafulila: CHADEMA hawana lolote, Dola iwashughulikie, Kikwete usiwape kichwa!

    Kwa hiyo wewe umesomea kuwaita CDM wahuni? Mind you, two wrongs don't make it right
  7. Offish

    JamiiForums Tanzania JK kaacha kishindo Dar?

    Kishindo gani hicho ambacho ni embargoed? Bila shaka kinatokana na uvumi wa kuvunjika kwa ndoa yake na mafisadi
  8. Offish

    JamiiForums Tanzania Zitto apendekeza Dowans itaifishwe; Serikali yapinga! Mgao waendelea...

    Pole sana Zitto lakini usihamaki, swali lilikuwa na nia njema kwako kwani wewe ni moja ya icons za CDM. Ukikosekana mahali, CDM mashzabiki wanajiuliza kulikoni, so go ahead and defend your 'status quo' in the party.
  9. Offish

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Kama wako makini sana katika kusalitiana nakubaliana nawe...kwa taarifa yako Zitto wa leo sio yule tuliyemjua, amekwishatekwa na vijisenti na viiitikadi fulani fulani ...
  10. Offish

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Januari imehongwa na Brigedia Al Adawi?

    Hilo linawezekana nami nililihisi tangu Dodoma Januari alipokomalia mitambo ya Dowans iwashwe kuokoa uchumi! Kiasi cha umeme kinachofuliwa na dowans ni kidogo mno kwani nini akomalie mitambo hiyo na siyo kutengenezwa haraka kwa Songas inayozalisha karibu mara mbili ya Dowans? Hapana shaka...
  11. Offish

    JamiiForums Tanzania Maandamano ya CHADEMA Jijini Mwanza

    Don't waste time by arguing with this fool, who believes development will be forged through EPA, Richmond, Dowans, Deep Green, etc...
  12. Offish

    JamiiForums Tanzania Lema akwepwa; Atakiwa kuleta ushahidi kwa maandishi siyo kuhutubia!

    "Ni uamuzi wa busara maana hakawii kuporomosha matusi yule mchaga! bunge lina hadhi yake bwana sasa hayo matusi yake ni bora ayaandike halafu ayasome aone yana sound vipi! TV zinaangaliwa na watoto siku hizi ala!" Kama ni matusi angeaachwa atukane tani yake kisha achukuliwe hatua kali, hakuna...
  13. Offish

    JamiiForums Tanzania Kafulila, hiyo sio njia sahihi ya kujenga chama chako cha NCCR- Mageuzi

    "kwa kweli chadema hawana mindset na ndio maana wanaanguka ovyo ovyo kila saa, mm nnawapa pole" Sina hakika kama neno 'mindset' hapa ni mahala pake, lakini pia neno kuanguaka 'ovyo ovyo' sijui ulikuwa unamlenga Kikwete!!!
  14. Offish

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

    Simtetei Pinda na kamwe sitajamtetea ila Lowassa anachapa kazi kuficha madhambi yake
  15. Offish

    JamiiForums Tanzania Waziri mkuu awachambua CHADEMA; Lema amtuhumu kudanganya

    Pinda has never been clean as people think, that's why he was defending Mwanza City executive director's decision to sell Nyamagana Stadium, which he called a 'ramshackle stadium'. The city director embraces corruption and is arrongant because he knows Pinda, his confidant and college mate, will...
Back
Top Bottom