Kamati ya Januari imehongwa na Brigedia Al Adawi?

AMARIDONG

JF-Expert Member
Jun 24, 2010
2,502
180
HABARI ZILIZO KWELI NA ZA KUAMINIK NI KUWA MGOGORO MKUBWA ULIOPO NDANI YA KAMATI YA NISHATI NA MADINI NI KUWA HELA ALIZOTOA ALLY ADAWI ILI KAMATI HIYO IPIGE DEBE MITAMBO YA DOWANS IWASHWE ZIMELIWA NA WANAKAMATI WACHACHE.

MITAMBO HIYO ILIYOWASHWA JUZI KWA SIKU TATU MFULULIZO IMELAZIMIKA KUZIMWA KUTOKANA NA MBUNGE WA CHADEMA JJ MNYIKA AMBAYE NI MWANAKAMATI KUKATAA MGAO WA HELA HIZO NA BAADHI YA WANA KAMATI WENZAKE KUMUUNGA MKONO KWAMBA MITAMBO HIYO ITAIFISHWE NA SIYO IWASHWE BILA MKATABA

nionavyo Januari kachukua hela nyingi na keshazitumia sas anasema lazima mitambo iwashwe na jana kakataa kura kwa maana alilamini wazo lake lingeshindwa na sikia ana haha sasa kuwapooza wanakamati waliompinga,KAZI IMEANZA
 
kazi kweli kweli hata mtu akifanya maamuzi kwa nia njema kabisa bado wengi mtakuwa na mawazo hasi kuhusu uamuzi wake. Haya natuendelee kukaa gizani
 
Mnyika njoo u-clarify hii issue, I am commending you for your stand, kama hii taarifa ni kweli, but will reproach you kama mmekaa kimya hali mkijua Makamba kaisha vuta mshiko!
 
Hilo linawezekana nami nililihisi tangu Dodoma Januari alipokomalia mitambo ya Dowans iwashwe kuokoa uchumi! Kiasi cha umeme kinachofuliwa na dowans ni kidogo mno kwani nini akomalie mitambo hiyo na siyo kutengenezwa haraka kwa Songas inayozalisha karibu mara mbili ya Dowans? Hapana shaka mafisadi wanahaha kuchota Sh90 bn serikalini ili walipe madeni waliyokopa benki za ndani na nje kwa kutumia dhamana ya mitambo yao ya Dowans.Januari akitaka mitambo ya Dowans iwashwe basi akubali wazo la Mnyika kwamba itaifishwe kwanza...
 
Makamba!!!!!!!!!!! Ni mapema sana kuwatofautisha ma opportunist wazalendo na watz wataka maendeleo
 
It is obvious for this to happen, January hahitaji kuhongwa na Brigedia maana tayari yuko kwenye pay roll ya RA its an open secret ndio maana wengi tulikua tunashagaa JK anawezaje bado kumuacha katika ofisi yake pamoja nakwamba hakuwa anafanyakazi yoyote ya maana zaidi ya kubeba mikoba na kuwapelekea wakina RA taarifa za ndani kabisa za JK. Very dangerous! sasa huku kiboko yake Mnyika, na pia ni lazima hii kamati ikumbushwe kwamba haina madaraka ya kutuamulia watanzania swala la dowans haliweza kuamuliwa na kamati ya January. January hawezi kutimiza hilo alilotumwa ndio maana baba yake siku hizi anakaa chini kuandika mwenyewe makala za kumchafua JK kwenye baadhi ya magazeti.
 
Mnyika njoo u-clarify hii issue, I am commending you for your stand, kama hii taarifa ni kweli, but will reproach you kama mmekaa kimya hali mkijua Makamba kaisha vuta mshiko!

Huyu kijana (Mnyika) nina uhakika atakiita kijiko kwa jina lake halisi.....tuvute subira!
 
HABARI ZILIZO KWELI NA ZA KUAMINIK NI KUWA MGOGORO MKUBWA ULIOPO NDANI YA KAMATI YA NISHATI NA MADINI NI KUWA HELA ALIZOTOA ALLY ADAWI ILI KAMATI HIYO IPIGE DEBE MITAMBO YA DOWANS IWASHWE ZIMELIWA NA WANAKAMATI WACHACHE.

MITAMBO HIYO ILIYOWASHWA JUZI KWA SIKU TATU MFULULIZO IMELAZIMIKA KUZIMWA KUTOKANA NA MBUNGE WA CHADEMA JJ MNYIKA AMBAYE NI MWANAKAMATI KUKATAA MGAO WA HELA HIZO NA BAADHI YA WANA KAMATI WENZAKE KUMUUNGA MKONO KWAMBA MITAMBO HIYO ITAIFISHWE NA SIYO IWASHWE BILA MKATABA

nionavyo Januari kachukua hela nyingi na keshazitumia sas anasema lazima mitambo iwashwe na jana kakataa kura kwa maana alilamini wazo lake lingeshindwa na sikia ana haha sasa kuwapooza wanakamati waliompinga,KAZI IMEANZA

Mtoto wa nyoka ni nyoka tu.
 
Jamani hawa sisiemu ni janga kuliko janga lolote lile mnalofikiria.nivigumu sana uadilifu kutoka sisiemu,ni genge la mijambazi.kwa mnyika atanyooka huyo na bichwa lake.
 
Hamuwezi kutaifisha mitambo. Moja ya mambo ambayo yanatumaliza waafrika ni mtazamo wa muda mfupi. Leo Kikwete akisimama akasema 'tunataifisha mitambo ya dowans'

Wananchi wote watasea 'Weweeeeee!' nakupiga makofi... Matokeo yake Foreign Direct Investment itapotea over-night na hakuna mtu wemnye akili timamu atakae kuja wekeza Tanzania... Basi kwisha...! Simple as that. Na sisi watanzania tulivyo mahodari wa biashara (as if ujamaa haujatupumbaza katika elimu na utendaji wakibiashara na ujasiriamali) tutaanzisha biashara na kujenga uchumi wetu wenyewe..lol

Ili kuendelea katika karne hii chakwanza inabidi tuache falsafa za ujamaa na kuangalia zaidi swala jinsi ya kukuza uchumi wetu inavyotakiwa. We dont have to re-invent the wheel. Look at China, ujinga wa cultural revolution under Mao kidogo uwamalize, lakini 1981 wakatoa ujinga wote huo na kujenga uchumi imara. Hayo ndio mafunzo yakuiga sio kuleta ma theory yakina Marx ya 1800s. As the great John Nash said...

The best outcome results when one acts in his best interest (capitalism) and also that of everyone else (ultrusitic socialism). The Nash Equilibrium.

KK
 
HABARI ZILIZO KWELI NA ZA KUAMINIK NI KUWA MGOGORO MKUBWA ULIOPO NDANI YA KAMATI YA NISHATI NA MADINI NI KUWA HELA ALIZOTOA ALLY ADAWI ILI KAMATI HIYO IPIGE DEBE MITAMBO YA DOWANS IWASHWE ZIMELIWA NA WANAKAMATI WACHACHE.

MITAMBO HIYO ILIYOWASHWA JUZI KWA SIKU TATU MFULULIZO IMELAZIMIKA KUZIMWA KUTOKANA NA MBUNGE WA CHADEMA JJ MNYIKA AMBAYE NI MWANAKAMATI KUKATAA MGAO WA HELA HIZO NA BAADHI YA WANA KAMATI WENZAKE KUMUUNGA MKONO KWAMBA MITAMBO HIYO ITAIFISHWE NA SIYO IWASHWE BILA MKATABA

nionavyo Januari kachukua hela nyingi na keshazitumia sas anasema lazima mitambo iwashwe na jana kakataa kura kwa maana alilamini wazo lake lingeshindwa na sikia ana haha sasa kuwapooza wanakamati waliompinga,KAZI IMEANZA

You know majority of Tanzanians are moderates and independent thinkers. We would not be inclined to believe on this hate inflicted rant/conspiracy. Besides, John Mnyika I believe is the member of ze kamati, msubirini aje aseme.
 
It is obvious for this to happen, January hahitaji kuhongwa na Brigedia maana tayari yuko kwenye pay roll ya RA its an open secret ndio maana wengi tulikua tunashagaa JK anawezaje bado kumuacha katika ofisi yake pamoja nakwamba hakuwa anafanyakazi yoyote ya maana zaidi ya kubeba mikoba na kuwapelekea wakina RA taarifa za ndani kabisa za JK. Very dangerous! sasa huku kiboko yake Mnyika, na pia ni lazima hii kamati ikumbushwe kwamba haina madaraka ya kutuamulia watanzania swala la dowans haliweza kuamuliwa na kamati ya January. January hawezi kutimiza hilo alilotumwa ndio maana baba yake siku hizi anakaa chini kuandika mwenyewe makala za kumchafua JK kwenye baadhi ya magazeti.

Can you say it again!?
 
ulitaka uhongwe wewe??? tunachohitaji watanzania ni umeme na si siasa. haya muombe huyo Samwel sitta wako atuletee umeme sasa
 
Back
Top Bottom