Recent content by Official jr

  1. Official jr

    GAMING PC FOR SALE

    GAMING PC MOTHERBOARD: CVN B460 GAMING FROZEN CORE i5 -10500 12 CPUs (10th GENERATION ) RTX 2060 6GB 16GB RAM (DDR4) 4 Slots 120GB SSD 500GB HDD 520Watt Antec PSU NZXT CASE ORIGINAL LENOVO CONTROLLER GAMES: FC 25 COD MODERN WARFARE II UNCHARTED COLLECTION GTA COLLECTION PRICE: 1.3m...
  2. Official jr

    Wapi nitapata best Video graphic adapter kwa ajili ya modern PC?

    Chief kwanini hizi RAM haziwezi kuboot Mashine pamoja ila ukiweka separate zinawasha, nime update Bios lakini issue Bado. Mwanzo Zilikua zinafanya kazi pamoja ila katikati Moja ikazima.
  3. Official jr

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Kuna possibilities inaweza isirun gen 7 processor maana ndio same socket ambayo ipo compatible
  4. Official jr

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    H naona zipo nyingi na bei ni rafiki pia hata review nyingi. Huananzhi h311 vhc plus Motherboard Intel LGA 2133 Unterstützung 6/7/2400 Generation DDR4 2666/3,0 MHz 32GB m.2 Sata3 USB VGA - AliExpress 7 ila Kuna hii hapa juu naona cheap na ina orders 48 na hakuna review, je ni red flag...
  5. Official jr

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Shukran mkuu, naona hapa ni chache nitaagiza AliExpress.
  6. Official jr

    PES & FIFA PC Games thread (Uzi kwa wapenda game za mpira kwenye PC)

    Wakuu Nina uhitaji wa motherboard ya i5 Gen 7 (LGA 1151) bajeti iwe rafiki pia. cc Chief-Mkwawa
  7. Official jr

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Usibishane na hako katoto, haelewi ratiba tayari imepangwa bado utekelezaji tu
  8. Official jr

    Kinachoendelea Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura 2024

    Kazi ni mwezi wa sita dogo....majina tunatoa soon tutawatangazia
  9. Official jr

    Eric Ten Hag anakosea aidha hajui anataka nini Hjulmand ni aina ya mchezaji mharibifu

    Hjulmand ni Nani..!? Anacheza Manchester United ama.!? McTonomy una maana ya Scott McTominay..!? Tuanzie hapa kwanza kabla ya huko Box to Box ya Hjulmand.
  10. Official jr

    Ni movie gani umewahi kuangalia ikakutoa machozi?

    Pirates II Stagnetti's Revenge
  11. Official jr

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Leo nafanya ziara katika kilabu cha hovyooo...naona hopes nyingiii [emoji28]
  12. Official jr

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nitumie link mkuu nilibadili number nikapotea
  13. Official jr

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    Hiyo Mtabila jau sana...mnakimbia muda wote kama Bush Men anamsaka mwanae
  14. Official jr

    Nafasi za kazi Jeshi la Polisi Tanzania

    825kj OP Magufuli... Nilidoji intro , Passing Square na Siku ya kuapa...Nilikimbia Guard no.1 siku ya kwanza tu kabla hawajanikariri...safari ilikua ngumu lakini nilitoboa Sifa ukiwa doja usiwe na tamaa ya msosi.
Back
Top Bottom