Recent content by ochu hulker

  1. O

    JamiiForums Tanzania Mbio Za Urais: Prof. Lipumba Anakuja, Na Chupa Ya Maji Mkononi!

    sijaona udini alioleta kwenye hotuba huko msikitinh.mbona hatusemi kina membe,pinda,slaa wakiongea makanisani kwamba ni wadini
  2. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha uzimaji moto

    thank you 19don
  3. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta chuo cha uzimaji moto

    Naomba kuuliza wapi naweza kupata kusoma kozi ya uzimaji moto vizuri iwe dar lakini hata mkoa pia
  4. O

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Hata kama Mtu anayechochea Wananchi ana mapembe, tutayakata!

    Nimesema hivyo kwa sababu kikwete anafanya mambo Bagamoyo huku akiacha kufanya mtwara au mahali pengine mambo yenyewe kama ifuatavyo-: Amejenga barabara kutoka kwao Bagamoyo mpaka Tanga lakini barabara kutoka Dar es salaam ina miaka kibao,Anatengeneza bandari mpya Kwao Bagamoyo wakati bandari...
  5. O

    JamiiForums Tanzania Pres. Obama to Visit South Africa, Tanzania, Rwanda, Considers Stopover in Nigeria

    Rais wa marekani Barack husein obama kutembelea Tanzania june mosi.
  6. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule ya Boading DSM ya serikali

    kisarawe 2 ipo maeneo ya dar es salaam zoo kigamboni
  7. O

    JamiiForums Tanzania Dawa ya kupunguza mwili tofauti na mazoezi

    Naombeni msaada nataka kupunguza mwili lakini si kwa njia ya mazoezi yaaaoi kwa njia mbadala tofauti na kufanya mazoezi
  8. O

    JamiiForums Tanzania Epuka utapeli huu Facebook

    Ndugu zanguni siku hizi katika mtandao wa Facebook kuna utapeli mtindo wanaotumia ni huu na mara nyingi hawa ni watu kutoka ktika nchi za magharibi mtindo wenyewe ni huu. Anakutumia msg inbox kwamba amependa profile yako na angependa muendelee kuwasiliana kwa kutumia email na anakutumia email...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Kuna sheria tofauti katika kuhukumu kesi ya uchochezi

    Ninachoshangaa mimi ni kwanini Lema apewe dhamana kwa kesi ya uchochezi na kwanini Ponda anyimwe dhamana kwa kesi hiyohiyo ya uchochezi je hii ni haki katika nchi hii inayoitwa ya utawala bora najua nitatukanwa kutoka upande wa CCM,CHADEMA na WlAKRISTO
  10. O

    JamiiForums Tanzania Kukosa usingizi kunasababisha vifo vya mapema

    wa kwanza kufa nitakuwa kwa sababu kulala kwangu ni saa 8 ndo nimewahi kulala
  11. O

    JamiiForums Tanzania Kipandauso (migraine): Chanzo, Dalili, Tiba na jinsi ya kujikinga na tatizo hili

    Ndugu zanguni nisaidieni kunifamisha dawa ya ugonjwa wa kipanda uso,kwa sababu huu ugonjwa unanisumbua sana na naumwa nikiwa katika hali ya hasira, njaa,shibe kupitiliza na mawazo nisaidieni jamani nateseka sana.
  12. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barcelona wanapita ila madrid washatoka hao.

    umeona ennh
  13. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Barcelona wanapita ila madrid washatoka hao.

    Japo munich wameshinda magoli 4 ila ninaiamini timu yangu ya Barcelona kwamba itarudisha magoli yote m4 na nyongeza juu kama mnabisha mtaona.
  14. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yathibitika: Kujamiiana kunatibu tatizo la Kipanda uso….!

    siamini kwa sababu na mimi nasumbuliwa sana na ugonjwa na unanipata nikiwa katika hali ya kuwa na njaa,kushiba sana,kuwa na hasira na kuwa na mawazo mengi na ni ugonjwa unaonisumbua sana na sijawahi kufanya hiki kitendo tangu nizaliwe.
  15. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kama wanawake husikia raha ya tendo la ndoa kama wanaume, kwanini huhitaji malipo?

    subr nikupeni jbu lenu ni hivi 'mwanamke ndo anapata raha kuliko mwanaume,mwanamke anapata raha mara 10 ya mwanamme.
Back
Top Bottom