Barcelona wanapita ila madrid washatoka hao.

Japo munich wameshinda magoli 4 ila ninaiamini timu yangu ya Barcelona kwamba itarudisha magoli yote m4 na nyongeza juu kama mnabisha mtaona.
Wewe tupo pa1 una imani kama mimi,Real Madrid,tatizo mashabiki ambao naita wengi maandazi waliicheka Barca kufungwa,inakuwaje mbona hawaelewani hawa watu wamekuwa kama si ndugu,ndugu wa ligi 1,kila timu kabeba lake,si kwa uzima wala ugonjwa hata sisi wapenzi wa laliga tunashangaa.
 
Sio kila siku Jumapili.

Si RM wala Barca, hakuna atakayevuka. Timu za Deutschland zinacheza kwa discipline ya hali ya juu. RM na Barcha wanaweza wakashinda gemu za marudiano (japo nayo ni ngumu), lakini suala la kuingia fainali haliwezekani.
 
Ndoto sio lazima uote usiku, hata mchana unaweza kuota pia. Endeleeni kujifariji......
 
Sio kila siku Jumapili.

Si RM wala Barca, hakuna atakayevuka. Timu za Deutschland zinacheza kwa discipline ya hali ya juu. RM na Barcha wanaweza wakashinda gemu za marudiano (japo nayo ni ngumu), lakini suala la kuingia fainali haliwezekani.
You'll never walk alone at Nou Camp,tusubiri tusiandikie mate
 
Sio kila siku Jumapili.

Si RM wala Barca, hakuna atakayevuka. Timu za Deutschland zinacheza kwa discipline ya hali ya juu. RM na Barcha wanaweza wakashinda gemu za marudiano (japo nayo ni ngumu), lakini suala la kuingia fainali haliwezekani.
hakuna kisichowezekana chini ya jua,Simba alikula 4-0 taifa akaenda kushinda 5-0 Zambia,Arsenal alifungwa 3-0 highbury akaenda kushinda 5-1 sana siro,Deportivo alikula 4-1 kwa AC Milan(muulize hata Gang Chomba)wakaenda kushinda 4-0 marudiano,inter milan alichapwa 3-0 london akaenda kushinda 3-0 milan japo alitoka ktk ET,shendi alipigwa 3-0 na simba akaenda kushinda 3-0 na matuta akashinda,hakuna kisichowezekana,au hauna habari Bayern hii hii ilishachapwa 4-0 na FC Barcelona miaka 4 iliyopita?
 
hakuna kisichowezekana chini ya jua,Simba alikula 4-0 taifa akaenda kushinda 5-0 Zambia,Arsenal alifungwa 3-0 highbury akaendai kushinda 5-1 sana siro,Deportivo alikula 4-1 kwa AC Milan(muulize hata Gang Chomba)wakaenda kushinda 4-0 marudiano,inter milan alichapwa 3-0 london akaenda kushinda 3-0 milan japo alitoka ktk ET,shendi alipigwa 3-0 na simba akaenda kushinda 3-0 na matuta akashinda,hakuna kisichowezekana

Iseeeeee.!!!!!!
 
hakuna kisichowezekana chini ya jua,Simba alikula 4-0 taifa akaenda kushinda 5-0 Zambia,Arsenal alifungwa 3-0 highbury akaenda kushinda 5-1 sana siro,Deportivo alikula 4-1 kwa AC Milan(muulize hata Gang Chomba)wakaenda kushinda 4-0 marudiano,inter milan alichapwa 3-0 london akaenda kushinda 3-0 milan japo alitoka ktk ET,shendi alipigwa 3-0 na simba akaenda kushinda 3-0 na matuta akashinda,hakuna kisichowezekana,au hauna habari Bayern hii hii ilishachapwa 4-0 na FC Barcelona miaka 4 iliyopita?
Ni kweli hakuna kinachoshindikana, lakini ukweli utabaki pale pale kwa mchezo ule wanaocheza Wajerumani, kuwatoa ni shughuli isiyo kifani.
 
Sio kila siku Jumapili.

Si RM wala Barca, hakuna atakayevuka. Timu za Deutschland zinacheza kwa discipline ya hali ya juu. RM na Barcha wanaweza wakashinda gemu za marudiano (japo nayo ni ngumu), lakini suala la kuingia fainali haliwezekani.

Nakumbuka mechi ya kihistoria kati ya AS Milan vs Deportivo la Coruna, Deportivo walichomoa goli 4 na kuongeza la 4 ambapo ktk 1st leg pale San Sirro Deportivo walipigwa 4-1. Japo mpora hauna adabu, ila 2nd leg itakuwa na msisimko sana na maajabu mengi yatatokea ktk soka. Hii game ya Deportivo vs AC Milan itabaki ktk historia yangu ktk ulimwengu wa soka
 
Nakumbuka mechi ya kihistoria kati ya AS Milan vs Deportivo la Coruna, Deportivo walichomoa goli 3 na kuongeza la 4 ambapo ktk 1st leg pale San Sirro Deportivo walipigwa 3-0. Japo mpora hauna adabu, ila 2nd leg itakuwa na msisimko sana na maajabu mengi yatatokea ktk soka.
Deportivo kipindi kile walikuwa balaa. Nakumbuka hata Man U waliwahi kutolewa kwa mtindo huo huo. Walishinda Old Traford magoli 3 kama sijakosea, jamaa wakaja kuchomoa yote kwao...enzi za akina Tristan, Roy Makaay, Renato ndo alikuwa anasimama mkoba...jamaa walikuwa balaa. Sijui kwa nini hawakuwahi kulibeba kombe kipindi kile.
 
Yaani wewe kama sio Mwanafunzi uliyeathirika na matokeo ya form 4 basi utakuwa mshabiki au mwanachama wa chadema
 
Ni kweli hakuna kinachoshindikana, lakini ukweli utabaki pale pale kwa mchezo ule wanaocheza Wajerumani, kuwatoa ni shughuli isiyo kifani.

Mkuu,
Hakuna mechi ambayo sikuamini nilichokiona kama Deportivo vs AC Milan, nadhani ilikuwa ni 2002 kama sijakosea. AC Milan walikuwa wamekamilika mno chini ya akina Paulo Maldini, Nesta, Inzaghi, Clarence Seedorf etc huku Deportivo wakiwa na akina Mauro Silva, Nurdin Naybet, Roy Makaay, Diego Tristan, Fran yaani ilikuwa ni boooonge la mechi. Nakumbuka Deportivo wali-dominate kwa zaidi ya 60% ya possession kwenye mechi hiyo.
RM & Barca wote japo wamepewa dozi tofauti kwa kiwango tofauti cha maradhi, kuna comeback kubwa sana kwenye 2nd leg, kuna maajabu makubwa sana yatatokea Bernabeu na Camp Nou stadiums.

Time..
 
Anyway, naona watu tunabishana kuwa wewe utazoa mavi ya kuku, mwingine anasema sizoi utazoa wewe; hadi ngumi zinataka kupigwa wakati hata huyo kuku hajanunuliwa. Ngoja tusubiri tu huyo kuku anunuliwe!
 
hakuna kisichowezekana chini ya jua,Simba alikula 4-0 taifa akaenda kushinda 5-0 Zambia,Arsenal alifungwa 3-0 highbury akaenda kushinda 5-1 sana siro,Deportivo alikula 4-1 kwa AC Milan(muulize hata Gang Chomba)wakaenda kushinda 4-0 marudiano,inter milan alichapwa 3-0 london akaenda kushinda 3-0 milan japo alitoka ktk ET,shendi alipigwa 3-0 na simba akaenda kushinda 3-0 na matuta akashinda,hakuna kisichowezekana,au hauna habari Bayern hii hii ilishachapwa 4-0 na FC Barcelona miaka 4 iliyopita?

Ni kweli hakuna kisichowezekana. Barcelona na Real Madrid wanaweza kupigwa 4 nyingine tena
 
Deportivo kipindi kile walikuwa balaa. Nakumbuka hata Man U waliwahi kutolewa kwa mtindo huo huo. Walishinda Old Traford magoli 3 kama sijakosea, jamaa wakaja kuchomoa yote kwao...enzi za akina Tristan, Roy Makaay, Renato ndo alikuwa anasimama mkoba...jamaa walikuwa balaa. Sijui kwa nini hawakuwahi kulibeba kombe kipindi kile.

Kwa anayejua na kufatilia soka, kamwe hawezi kuisahau Deportivo.
Nakumbuka jamaa wakiwa nyumbani kwao Spain wakicheza na Man U, mpaka dk ya 83 Man u ya akina Bekham, Barthez, Neville, Gigs, Ole Gunar walikuwa wakiongoza. Jamaa wakachomoa goli zote na kuongeza moja zaidi na mechi kuisha kwa 3-2 Depo wakishinda.
Kwenye 2nd leg Old Trafford, Man U tena akachezea kichapo cha kufungwa na Deportivo 2-0 huku possession kubwa ikienda kwa Depo.
Pale Spain yaani RM na Barca walichezea sana vichapo toka kwa hawa jamaa, nilisikitika iliposambaratika kwa ukata na akina Makaay, Diego Tristan, Mauro Silva, Capdevila wakauzwa.

Tuwe wakweli kuichambua soka, historia huleta maana japo soka haina mwenyewe.
 
Aibu kweli kweli kwa Real Madrid. Hadi namhurumia kocha wao. Walau Barca wanaweza kusema wamechoka......

957169e59897f27eab4a9c80ad1f6cf6,62,37.jpg
images

Namhurumia huyo Bibie hapo maana sasa Mabinti hapo German watamuwinda kama Almasi huyu mumewe, Bob.

Ila wajiangalie maana akikamata mtu anataka kumuibia Mumewe, mie simo.........

47525_376208829119976_178832587_n-610x400.jpg
Anna Stachurska.
 
Ulaya mastaa wanajua sana kuchagua mademu. Huyo gash wa ROBERT LEWANDOWSK ni balaaa. Huwezii kuta demu mbofumbofu
 
Back
Top Bottom