Recent content by Ochu glover

  1. Ochu glover

    NATAKA KUMUOA LAKINI HATAKI KWA SABABU HANIAMINI. MSAADA PLEASE

    Una miaka 27 uelewi cha kufanya bac pga master
  2. Ochu glover

    Nataka nimpige marufuku asirudi tena

    Nenda hospital mzee utakuwa na matatizo sio bure
  3. Ochu glover

    Naomba ushahuri wenu tafadhali

    Fata mfuko wako unavyosema hao wazaz wanaotaka harusi iwe kubwa waambie watoe pesa zao mfukoni shubaaaaah miti
  4. Ochu glover

    Fanya haya ukifika jela kwa mara ya kwanza

    Wewe mwenyew usikute hata kituo cha polisi unakiona kwa macho ujawah ingia
  5. Ochu glover

    Must see Movies

    Wadau kama kuna mtu anajua app ya kudownload season za kizungu anambie
  6. Ochu glover

    Mwanamke ukitaka kuniibia vaa shanga.

    Mm nikiona shanga najuaga uchaw mana shanga ishazoeleka Kwenye matunguli kiunoni ikafanye nn km atakata urembo avae cheni
  7. Ochu glover

    Mwanamke ukitaka kuniibia vaa shanga.

    Kokote ulipo agiza kinywaj nakuja kulipa
  8. Ochu glover

    Huyu ndiye Mwanamke wa Kuoa, ila sijui kama Tanzania yupo...

    Km kasoma madrasa je hahahahahahhahahahah
  9. Ochu glover

    Mbunge Jumanne Kishimba (CCM) ataka kilimo cha bangi kuhalalishwa nchini Tanzania

    Km bangi ikihalalishwa na waongeze hospitali za vichaa na machizi wataongezeka mana vijana hawafany kaz wapo wapo
  10. Ochu glover

    Hakuna jambo lolote utakalo lifanya hapa duniani bila kutumia principles za Physics

    Ila ww mwenyew umesoma hyo physics au bla bla bla 2
Back
Top Bottom