NATAKA KUMUOA LAKINI HATAKI KWA SABABU HANIAMINI. MSAADA PLEASE

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
522
Reaction score
630
mimi ni kijana wa miaka 27. nmekuja maswa kwa shuguli zangu ndogondogo bahati nzur nkapata chumba kwenye mji mmoja. kuna binti nimemwona hapa nkavutiwa kumuoa maana ana maadili mazuri na ametulia sana. nlimpima kwa kutaka kumhonga pesa akanjibu live kuwa pesa siyo mapenzi. nmejkuta nahtaji kabisa kumuoa. nifate utaratbu ghani maana yeye aniamini anajua namtaka kimapenzi. nifate utaratibu upi?
 
thread title vs thread content havihusiani au ni akili yangu?
 
Daaah siku hizi wanakuvuta mkuu,,eti pesa sio mapenzi alafu hakuamin wee anakuchora hakuna mwanamke asiyepwnda hela bhan
 
mimi ni kijana wa miaka 27. nmekuja maswa kwa shuguli zangu ndogondogo bahati nzur nkapata chumba kwenye mji mmoja. kuna binti nimemwona hapa nkavutiwa kumuoa maana ana maadili mazuri na ametulia sana. nlimpima kwa kutaka kumhonga pesa akanjibu live kuwa pesa siyo mapenzi. nmejkuta nahtaji kabisa kumuoa. nifate utaratbu ghani maana yeye aniamini anajua namtaka kimapenzi. nifate utaratibu upi?
Unashida sana, miaka 27 hujui la kufanya?!
 
mimi ni kijana wa miaka 27. nmekuja maswa kwa shuguli zangu ndogondogo bahati nzur nkapata chumba kwenye mji mmoja. kuna binti nimemwona hapa nkavutiwa kumuoa maana ana maadili mazuri na ametulia sana. nlimpima kwa kutaka kumhonga pesa akanjibu live kuwa pesa siyo mapenzi. nmejkuta nahtaji kabisa kumuoa. nifate utaratbu ghani maana yeye aniamini anajua namtaka kimapenzi. nifate utaratibu upi?
Acha kukaa kwa Baba
 
Una miaka 27 uelewi cha kufanya bac pga master
 
Mkuu jipe muda,, acha papara hizo... Kukataa hio hela ni gia tu ya kukuingia ila amini huko mbele utazitoa sana..

Jipe muda
 
Back
Top Bottom