Recent content by Ocampo four

  1. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Dr. Eve Hawa Sinare atangaza Kuhama CCM

    Na bado...... Wanazidi kupuputika tu
  2. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Zikiwa zimebaki siku tano, Home Shopping Centre yasitishwa uwepo wake

    Anatetemesha wapi.... Sikujua kama Magufuli ni mwepesi kiasi hiki.... Akipata asilimia 45% ni miujiza..
  3. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Hakuna mtu mnafiki kama Manyerere Jackton

    Kwa akili yake eti anafkiri atapata cheo kama CCM watashinda... Ukweli asio jua ni kwamba CCM safari hii haishindi hata kwa dawa
  4. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Waangalizi wa Uchaguzi wana mpango wa kuisaidia CCM

    Ulinzi wa kura ni lazima, hilo halina ubishi kabisa
  5. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania CCM kutopata kura za watumishi wa serikali

    Watumishi wa Umma hakuna atakayempa Magufuli kura.... Ofisini kwetu Magufuli hapati kura hata 1 na tuko zaidi ya 200
  6. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Wadau wa Amani na wasomi Watoa Maoni yao juu ya Viashiria vya Machafuko

    Hapo Prof. Bakari naona kagonga Ikulu...
  7. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Hapo napo si alizomewa.... Chezea Mwanza.... CCM iliandaa watu kumbe hawakujua Igoma ni centre kubwa, wananchi walivyomiminika Mzee wa Pushup akaanza kuzomewa ile mbaya
  8. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Kutoka viwanja vya shule ya msingi Ruanda Nzovwe Mbeya, Mkutano wa Edward Lowassa

    Lowassa kwa sasa hazuiliki....
  9. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mawakala wa Uchaguzi waelekezwa kuwazuia wanafunzi na wasio wakazi kuchagua mbunge na diwani

    CCM inahangaika sana aiseee... Kwa nini wanatumia nguvu kubwa kaisi hiki?
  10. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Kyela Kimenuka. Lowassa amfutilia mbali Mwakyembe

    Lowassa hazuiliki hata kwa dawa
  11. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Lowassa uwanja wa Taccoshiri - Kyela

    Mods pandisha picha juu...
  12. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa ya CCM kushindwa urais imezidi kutanda mitaani

    Lumumba na Ikulu hakukaliki.... Vichwa vyao vinawaka moto
  13. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kubwa CCM kushindwa vibaya

    Mama Mangula pole sana kama uzi umekuguza.... Ila huo ndio ukweli
  14. Ocampo four

    JamiiForums Tanzania Tarehe na mwezi kama ya leo 1991 niliingia duniani

    Usisahau kumpigia Lowassa kura
Back
Top Bottom