Atarudi zake kuendeleza kale ka mradi tata ka umeme upepo kule singida kipindi kile nadhani pesa ilikata sasa nadhani ule mgao wa mabehewa feki ya india utamsaidia.
Kisiki walichokishindwa CCM, CHAMA kilichokatta kuwasikiliza hata wanachama wake waliosema hawamtaki Mwakyembe kimemshindwa mtu wake lakini buldozer ilipoingia hakuna kilichobaki. If god is with us, who can be against us? si mwakyembe, si magufuli si kikwete hawa ndio oili chafu tena chafu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.