Hii ndio sababu kubwa CCM kushindwa vibaya

Ocampo four

JF Senior Expert Member
Joined
Feb 28, 2014
Posts
5,789
Reaction score
2,159
Alipoulizwa anafikiri kwanini McCain alishindwa na Obama 2008, mshauri wake akajibu, "Our campaign turned tactical rather than strategic. We focused more on why Obama should not be president, but much less on why McCain should be." -Wall Street Journal.

(Najaribu kuwaza kuwa CCM itashindwa vibaya not because Magufuli hafai, bt because wametumia muda mwingi kutuekeza kwa nini Lowassa hafai badala ya kutuambia kwa nini Magufuli anafaa).

The same happened kwa Rais Buhari.... Jonathan na Chama chake walikuwa busy kumsema na kumchimba Buhari (Mara mgonjwa, atakufa, ni Mzee, ni mfadhili wa Boko Haram) badala ya kuwaeleza wananchi ni nini watafanya...

Kwa kuwa zimebaki siku 5. Hakuna miujiza yanayoweza kutokea, CCM ijiandae kupata pigo takatifu..
 
Kila siku maneno yako ni haya haya. Umeandaa pampus za kutosha? Rate ya kujinyea itaongeza mara dufu baada ya tingatinga kuzoa mafuriko.
 
Hapa uko sawa kabisa "Najaribu kuwaza kuwa CCM itashindwa vibaya not because Magufuli hafai, bt because wametumia muda mwingi kutuekeza kwa nini Lowassa hafai badala ya kutuambia kwa nini Magufuli anafaa"
 
Hopeless threads, huna impact yoyote ile hapa mtandaoni, unapoteza muda wako bure, come october 26, utajua ni kwa namna gani umepoteza muda wako muhimu katika maisha kwa kusupport movement inayoelekea kushindwa. hii nchi ni salama zaidi ikibakia CCM na si katika hilo genge lisilo na hata watu wasiozidi mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za taifa hili.
 
Mama Mangula pole sana kama uzi umekuguza.... Ila huo ndio ukweli
 
Nimeukubali uzi wako mkuu..
Hawa CCM wapo out of the track kuanzi mwano wa kampeni...jana Bulembo badala ya kusema wakiingia madarakani watafanya nini..amekazania kuwaeleza wananchi tena wa Misungwi kwanini EL hajuhutubia Tunduma..Kitu ambacho hakina maana yoyote wa mwanannchi..
Hukumu yenu nu jpili..tumewachoka CCM.
 
Alipoulizwa anafikiri kwanini McCain alishindwa na Obama 2008, mshauri wake akajibu, "Our campaign turned tactical rather than strategic. We focused more on why Obama should not be president, but much less on why McCain should be." -Wall Street Journal.

(Najaribu kuwaza kuwa CCM itashindwa vibaya not because Magufuli hafai, bt because wametumia muda mwingi kutuekeza kwa nini Lowassa hafai badala ya kutuambia kwa nini Magufuli anafaa).

The same happened kwa Rais Buhari.... Jonathan na Chama chake walikuwa busy kumsema na kumchimba Buhari (Mara mgonjwa, atakufa, ni Mzee, ni mfadhili wa Boko Haram) badala ya kuwaeleza wananchi ni nini watafanya...

Kwa kuwa zimebaki siku 5. Hakuna miujiza yanayoweza kutokea, CCM ijiandae kupata pigo takatifu..

Uko sahihi kabisa Ocampo four, ukisikiliza mikutano ya CCM utaona 85% ya wanachokiongea ni kuhusu Lowasa na Ukawa. Na kama mtu ni mara ya kwanza kuwajua CCM na kusikia neno Lowassa na Ukawa basi lazima utatumia muda wako wa ziada kujifunza zaidi hawa Ukawa na Lowassa ndio nani badala ya kujiuliza kuhusu CCM maana picha yao ya UNYONGE umeshaiona tayari kutoka kwao wenyewe
 
Last edited by a moderator:
Hopeless threads, huna impact yoyote ile hapa mtandaoni, unapoteza muda wako bure, come october 26, utajua ni kwa namna gani umepoteza muda wako muhimu katika maisha kwa kusupport movement inayoelekea kushindwa. hii nchi ni salama zaidi ikibakia CCM na si katika hilo genge lisilo na hata watu wasiozidi mkono mmoja wenye weledi wa kusimamia rasilimali za taifa hili.

Kwa hiyo sisiem ilivo iba huoni au
 
Back
Top Bottom