Recent content by oby7

  1. oby7

    Msaada kwenye tuta....

    We BICHWA KOMWE - papai wewe🫵
  2. oby7

    Msaada kwenye tuta....

    Utomvu wa mmea gan ndgyng?
  3. oby7

    Msaada kwenye tuta....

    Madaktari msaada tafadhal, Nini shida hapa na Nitumie dawa Gani maana Nisha chomwa injection kama gentamicin na penadol lkn Bado Ngoma ngumu,.
  4. oby7

    Nini kinaweza kuwa chanzo cha maumivu ya mgongo kwa mdau wetu hapa?

    Habari ndugu wadau? Nina maumivu ya mgongo nyuma ya kifua. Je, naweza kua ni dalili mbaya? Kuanzia mwaka 2009-2012 niliwahi kuugua aina fulani ya jipu mguuni, na nilifanyiwa Operation mbili kwa nyakati tofauti kwasababu madaktari walidai kuwa ni infection disease hivyo inabidi nifanyiwe...
  5. oby7

    Je, ni dawa ipi ya kuongeza uzarishwaji wa kiwango cha hormone?

    Mmea gan huo ndugu yangu? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. oby7

    Je, ni dawa ipi ya kuongeza uzarishwaji wa kiwango cha hormone?

    Kwa anaefahamu aina ya dawa za kuongeza uzarishwaji wa kiwango cha hormone ya testosterone tuwasiliane nazihitaji hizo dawa wadau. Maana nahisi kama ufanisi umepungua . Sent using Jamii Forums mobile app
  7. oby7

    Anatafuta kazi ya duka,shamba,biashara n.k

    Hbr wana Jf, natafuta kazi ya aina yoyote ile halali kwa malipo ya day kwa maelewano maalum. Kazi inaweza kuwa ya kuuza duka, kusimamia shamba, kusimamia mifugo, kulinda nyumba ambayo ipo kwenye ujenzi nahata kusimamia biashara. Nb; kitu ninachokitegemea kutoka kwangu kama mtaji ni UAMINIFU &...
  8. oby7

    Mkenya awa Mwafrika wa kwanza kushinda tuzo ya mwalimu bora duniani

    Oya wadau hv mwl ngaz ya cheti anaanza na mshahara wa tsh ngap? Sent using Jamii Forums mobile app
  9. oby7

    Uliza chochote kuhusu kujiunga Chuo Kikuu Huria Tanzania

    Je mwalimu wa cheti aliehitimu masomo 2019 na akapata GPA ya 3.3 na bado hajaajiliwa anaweza kujiunga na masomo ya diploma. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. oby7

    Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

    Msaada swali la 14,15 & 16 wadau mada ni uwiano mchanganyiko. Kwa wale wenye vitabu vya JIZATITI KATIKA HISABATI(mwandishi Hamza F. Napunda) maswali haya yanapatikana ukurasa wa 19. Majibu yake yapo tatizo njia sasa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. oby7

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hii doble chance 1/2 ya icehockey kwenye palimatch mnaielew vp wazee? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. oby7

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wazee nimekosea wap? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom