Mwanafunzi, weka swali linalokusumbua ili walimu na wazoefu wakusaidie

Jamani ni Nina umri wa miaka 40 sijawahi kusoma shule ya secondary, sasa nasoma qt,nataka nipate mwalimu wa masomo ya hisabati ya form one na two,awe anakuja kunifundisha home then tuelewane,Mimi nakaa kunduchi,karibu na kituo cha mtongani,MTU ambaye yuko karibu na huku anicheki,kwa kuacha namba ya simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu katika kupitia nyuzi mbalimbali humu nimegundua hili jukwaa lina wanafunzi wengi sana hasa kidato cha 5 au chini ya hapo pia wanavyuo

Hivyo basi ni vyema walimu na watu wenye uzoefu tuwasaidie hawa watu ili wafanye vyema ktk masomo yao kwa wenye nia njema, jukwaa hili ni muhimu na tukilitumia tukainua ufaulu wa ndugu zetu tutaongeza Tanzania njema yenye wasomi bora.

karibuni, mimi tupia swali la linguistics/language 1&2 (kwa A-level) au english kwa O - level na Geography.

Walimu wazuri na Wataalam wengine watajitajitokeza ukirusha swali lolote.
Naomba usaidiz serikal inaweza kukuchagua kama chemia c physics d math c pcm kujiuga na kidato cha tano
 
GEOGRAPHY
Map reading
Qn. Describe the factors that have affected the contents of the area shown on the map.
Necta form four.
.........hili swali linaendaje.?

Sent using [Huawei P8]
 
Ukizingatia mabadiliko ya kisiasa nchini Tanzania, fafanua jinsi Fasihi simulizi isivyoweza kujitenga na siasa jamii
Kwanza kabsa mwanafunzi utatakiwa uelezee nn maana ya fasihi then utuelezee maana ya siasa jamii baadae kwa kusimamia hoja ya siasa hubadilika kutokana namabadiliko ya kijamii utaeleza ni vipi fasihi simulizi ya Tanzania zimebadilika kutokana na siasa za tanzania.mfano kipindi Cha mfumo wa chama kimoja kulikuwa na nyimbo nyingi zilizokuwa zinasifu na kuelezea mfumo huo,kikaja kipindi Cha mapinduzi watunzi wengi wa fasihi simulizi walitunga kazi zao kuelezea faida na hasara za mapinduzi,saizi tuko kwenye siasa za vyama vingi watunzi wengi wanatunga kazi zao wakilenga kutangaza vyama vyao tahadhari;ukipewa maswali ya kichagua hili achana nalo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naombeni msaada wa swal hili, mambo yanayosababisha utata katika lugha
1) neno kuwa na maana zaidi ya moja,mfn mbuzi,Mama,kaa
2)kutozingatia alama za uandishi.
Mfn; Baba kulwa anakuja?(swali)
Baba kulwa anakuja.(taarifa)
3) kutozingatia muktadha wa matumizi ya lugha
Mfn; mbuzi( mnyama) mazingira ya porini
Mbuzi(kifaa Cha kukunianazi) jikoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msaada swali la 14,15 & 16 wadau mada ni uwiano mchanganyiko. Kwa wale wenye vitabu vya JIZATITI KATIKA HISABATI(mwandishi Hamza F. Napunda) maswali haya yanapatikana ukurasa wa 19. Majibu yake yapo tatizo njia sasa.
1585334965637.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom