Anatafuta kazi ya duka,shamba,biashara n.k

oby7

Member
Joined
Dec 30, 2019
Posts
12
Reaction score
7
Hbr wana Jf, natafuta kazi ya aina yoyote ile halali kwa malipo ya day kwa maelewano maalum. Kazi inaweza kuwa ya kuuza duka, kusimamia shamba, kusimamia mifugo, kulinda nyumba ambayo ipo kwenye ujenzi nahata kusimamia biashara. Nb; kitu ninachokitegemea kutoka kwangu kama mtaji ni UAMINIFU & HESHIMA. kwa mawasiliano tuwasiliane kwa 0621001499

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka wasifu wako!

Back
Top Bottom