Recent content by obligado

  1. O

    Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

    Tatizo ni bei ya mkaaa jombaa achana nae anakupotezea mda
  2. O

    Naomba ushauri

    Asante mkuu
  3. O

    Naomba ushauri

    Kwa sisi tulioongezewa jkt na kuambiwa tuandike barua je hizo barua tunatuma kwa njia ya posta au tunapeleka makao ?
  4. O

    JKT awamu ya tatu Septemba 28, 2013

    Na sisi ambao hatuja chaguliwa inakuaje sasa au tusubir awamu ya nne?
  5. O

    End Of The Wold!!

    Ukweli wote upo kwenye bibilia na quran,watu wanaangamia kwa kukosa maarifa
  6. O

    End Of The Wold!!

    Kumbuka dalili za siku za mwisho watatokea manabii wengi wa uongo,wengine wakisema tazama mwisho wa dunia ndo huu au ndo ule,lakini kumbuka hakuna aujuaje mwisho wa dunia hii ila Mungu tu so hao wanasayansi ni sawa na manabii wa uongo *shika sana ulicho nacho na mwenye maskio na asikie na...
  7. O

    Hii ndo top ten ya vyuo vya kata bongo,vijue kabisa usije ukadanganyika kuvichagua kwa wadogo zangi

    Upeo wako mdogo ka maisha funza,unakosea na unashindwa kujifunza,...na utakua jogoo la shamba wewe
  8. O

    Nampenda tatizo namuogopa

    Domo lako lina ujauzito subir miez 9
  9. O

    Jinsi Mwakyembe na Kipande wanavyokiuka sheria na kuidharau Bodi ya TPA

    Mwakyembe ni jembe,hao wanabanuwa ndo mana wanamponda,hakatwi mtu hapa
  10. O

    Sifa za wanafunzi kulingana na vyuo

    Upeo wako mdogo ka maisha ya funza unakosea lakini bado hautaki kujifunza
  11. O

    BABA LEVO: Diamond kaniibia chorus ya my No.1

    Huyu diamond kazid bwana,kwanza alianza H-baba nikazani anamuone akaja dyna na sasa baba levo kwa mtu ka diamond hii inajenga picha mbaya aisee
  12. O

    HATIMAYE HESLB YATEMA MAJINA KWA 1YR WALIOKOSA MKOPO....udsm wapo 154 waliopata..

    Uwe unafikiria mda mwingine hii cyo facebook kupost mambo yasiyo na maana kwa mda huu,elimika ndugu yangu..
  13. O

    Message from ifm via mobile phones

    Wadau naombeni maelekezo,wanaposema privare sponsors students na HESLB students,wanamaanisha nn?
Back
Top Bottom