Recent content by obedia musa

  1. obedia musa

    KERO Responded DAWASA wanauza maji kwa njia ya magari Kinyerezi wakati Mabomba hayatoi maji

    DAWASA KINYEREZI WAHUJUMU UCHUMI… Hii ni habari ni inayopaswa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi na Mamlaka nyingine za nchi kwa haraka sana. Ni hivi, kutokana na uhitaji wa maji kuongezeka na watumiaji kuwa wengi, Serikali iliamua kuanzisha ofisi nyingine kwa upande wa Tabata kwa kufungua ofisi ya...
  2. obedia musa

    Makubwa yaibuka mradi wa Umeme Kinyerezi II

    Mradi huo uliozinduliwa na Rais Mstaafu wa awamu ya nne,Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete,umegharimu zaidi ya shilingi Trilioni 1.6. Kutokana na namna ilivyoendeshwa tenda hadi kupatikana kampuni ya Sumitomo ya nchini Japan,baadhi ya wanasiasa walipiga kelele kuhusu gharama kubwa kuliko mahitaji halisi...
  3. obedia musa

    Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

    Jina la Mr. Zero alipewa na wapinzani, sasa Mr. Zero huyo huyo anakabidhiwa hatamu za chama... Ama hakika ukikosa ukipendacho penda ulichonacho; kwa maana hakuna namna
  4. obedia musa

    Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

    Mr. Zero hana uwezo wa kufikia viwango vya utendaji kama Dr. Slaa; bora hicho cheo apewe Prof. Abdallah Safari
  5. obedia musa

    Baba Mwenye Nyumba ni Tumaini la Wanakaya

    BABA MWENYE NYUMBA TUMAINI LA WANAKAYA. Mara baada ya kuingia hapa nyumbani ameweza kufunga mianya ya matumizi yasiyo ya lazima na kuziba mianya mikubwa ya ukwepaji kodi. Baba mwenye nyumba ameunda baraza dogo la mawaziri lenye mawaziri 19 na manaibu 15. Ikilinganishwa na awamu iliyopita...
  6. obedia musa

    Matokeo rasmi ya Urais kwa mujibu wa NEC (Official Results) - Uchaguzi Mkuu 2015

    Na. Thadei Ole Mushi. Matokeo ya mkoa wa Daresalam yananifurahisha kuliko yanavyowafurahisha UKAWA. Wamekuwa wakiyashangilia ila wanashindwa kuyaangalia kwa jicho la kitafiti. Ngoja niwaonyeshe kitu hapa. Ipo hivi Mkoa wa Daresalam ndio mkoa uliokuwa na wapiga kura wengi kuliko mikoa yote...
  7. obedia musa

    VIDEO: Rais Kikwete azindua Uwanja wa Ndege za kivita Morogoro; Mkuu wa Majeshi ahudhuria

    Tatizo lenu mnaingiza siasa kwenye mambo yasiyokuwa ya kisiasa
  8. obedia musa

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Tusipoelemea upande wowote tutakuwa wawazi kuwa matusi yanatolewa na pande zote za vyama vyote vya siasa. Tukumbushane tu jinsi watu walivyomtukana Rais Kikwete matusi ya nguoni na hadharani wakati yupo Marekani anafanyiwa upasuaji wa tezi dume. Jambo la msingi siasa za udhalilishaji hazifai...
  9. obedia musa

    Tuacheni udhalilishaji, imetosha sasa

    Aliyempiga dole Mama Lowassa ni kijana wa CHADEMA, tangu Lowassa aje CHADEMA kuna wanachama wenzetu wanafanya kila wawezalo ili wamuangushe Lowassa. Hii siyo adabu hata kidogo, yule ni sawa na Mama zetu wengine tunaoishi nao kwenye jamii zetu. Kama humtaki Lowassa bora ukae kimya au ukimbie...
  10. obedia musa

    Sababu Tisa kwanini CCM itashinda katika Uchaguzi Mkuu Jumapili hii, Oktoba 25

    Na January Makamba Tarehe 25 mwezi huu Oktoba, Watanzania watapiga kura kumchagua rais wao wa tano, wabunge na madiwani. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu umekuwa na msisimko mkubwa zaidi tangu kuanzishwa kwa mfumo wa siasa za vyama vingi mwaka 1995. Mengi yamendikwa kuhusu uchaguzi huu, hususan...
  11. obedia musa

    Hili la "kulinda kura" sawa ila watangulie hawa

    Viongozi wenu watakuwa wanakula bata nje ya nchi wakati nyinyi mnaugulia maumivu hospitali, sembuse hospitali zenyewe hazina dawa ndo mtaozeana tu mwisho mkatwe miguu
  12. obedia musa

    Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Unajua wazi kuwa Kagame anachochea vita vya Congo DRC ili aibe madini kwajili ya kukuza uchumi wake lakini unajifanya kama huoni vile Unajua wazi kuwa Lowasa na Kagame wanafanya njama ili ukawa iingie madarakani ili bandari ya Dar ibinafsishwe kwa Kagame lakini unajifanya husikii Unajua wazi...
  13. obedia musa

    Mnyarwanda: "Lowassa ni kama mke wa mtu anayejitongozesha kwa mume wa jirani yake!"

    Mamvi hatutakii mema na nchi yetu, wameshapanga kugawana bandari, gesi migodi, vitalu vya hifadhi ya taifa na misitu ilojaa neema. Badala ya kuipigania nchi yao wao wanapigania matumbo yao. Huyu tumuepuke kama alivyoepukwa na mkuu wa kaya Mzee Nyerere
  14. obedia musa

    Hili la "kulinda kura" sawa ila watangulie hawa

    Wakati nyie mnalinda kura viongozi wenu wa chama na wake zao na watoto wao watakuwa wanalinda beer kwenye majokofu nyumbani kwao.
  15. obedia musa

    Mfumo ule ule unataka kurudi kupitia UKAWA!

    Acheni upuuzi nyie watu. Sumaye alikuwa mbunge wa Hanang kwa miaka 15. Lowassa alikuwa Mjumbe wa Halmashauri kuu ya CCM na Kamati kuu kwa zaidi ya miaka kumi. Wote wazeee wana miaka sitini na kitu. Wamelelewa CCM. Utakuwa mwenye AKILI NDOGO sana kama ukiamini mabadiliko yataletwa na Wazee MAKAPI...
Back
Top Bottom