Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

Dr Slaa alikuwa Mburu/ MuIraqwi na Sumaye pia ni wa kabila hilo, jee hivi vita ni mamlaka ya kifalme? ????
 
Jina la Mr. Zero alipewa na wapinzani, sasa Mr. Zero huyo huyo anakabidhiwa hatamu za chama... Ama hakika ukikosa ukipendacho penda ulichonacho; kwa maana hakuna namna
 
Jina la Mr. Zero alipewa na wapinzani, sasa Mr. Zero huyo huyo anakabidhiwa hatamu za chama... Ama hakika ukikosa ukipendacho penda ulichonacho; kwa maana hakuna namna

huna hoja wewe ulitaka aww nani?
 
Naona wakaskazini wanapanga safu zao za uongozi huyu Sumaye ndiyo wanamtegemea kumsimamisha kugombea urais mwaka 2020.
Mkuu kwani Mzee kakata tamaa kabisa? Mbona sijamuona akiwa na kundi la ng'ombe kule Monduli? Yeye hautaki uenyekiti wa chama chake?

CHADEAMA kama wanataka kujivua mnyororo wa ukanda ni afadhali cheo hiki wakampa David Silinde.
 
Mbeya hivi cdm ina wabunge na madiwani wangapi mkoa mzima vile?
Mkuu kwani idadi ya wabunge na madiwani ndio sifa ya kupata ukatibu mkuu? Mimi nilikuwa nadhani CHADEMA wamekwisha ipata thawabu yao huko kasikazini hivyo ni vyema wakatafuta ungwaji mkono mkubwa sehemu nyingine. Hii inaweza fanyika kwa kumpa ukatibu mkuu mtu ambaye hatoki kasikazi ili wapate uungwaji mkono toka sehemu ambayo itatoa Katibu Mkuu.
 
Mwacheni tu apewe hiyo nafasi maana 'amechoka kukaa nyumbani bila shughuli maalumu ya kufanya'. CCM ilimtelekeza na kutotumia tena utaalam wake baada ya kustaafu kitu ambacho kilimjengea sumu nafsini mwake na kuamua kugeukia upande wa pili...
 
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.

Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.

Tusubiri
Hivi Chadema ni chama cha watu wa Kaskazini tu,mimi nilidhani,huo ukatibu mkuu lazima apewe mtu wa kaskazini?mgombea uraisi kaskazini,mwenyekiti,kaskazini,katibu mkuu kaskazini,wakuu wa vitengo kaskazini,hiki sio chama bali ni klabu.
 
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..

Akili yako haina tofauti na akili ya mama yako!
 
Atafaa sana kuendelea kuwakimbiza wezi na mafisadi wa CCM


WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.

Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.

Tusubiri
 
Tetesi lako lipeleke na liwe lako tu. Salim mwl au Mnyika mmoja wa hao ndiye atakuwa KATIBU.
 
Sumaye ni Mpambanaji atatufaa sana Kamanda Sumaye chukua Ukatibu Uwanyooshe CCM

Sumaye ni ganda la muwa, tena huyu ndiyo anatuonyesha watanzania kuwa tu wajinga kiasi gani, waziri mkuu leo awe mwanaharakati. Aliechangia kutufikisha hapa ni pamoja na yeye, hii inayo inaishushia heshima CHADEMA, kuwa hakuna anaeweza kuongoza mpaka toka CCM, tena waliokua watawala. Ganda la muwa halina utamu kama CHADEMA imeamua kuwa cha kukukosoa na si cha kuongoza kiendelee kuongozwa na maganda ya muwa nani ale maganda ya muwa tena ya zamani wakati miwa ipo, mwenye jicho huona.
 
This will be a fatal blow to Chadema. I have not supported them after picking Lowassa for presidency. If they pick Sumaye for SG; It is over. Anyway, I had predicted this! After the Lowassa move; opposition is dead. We will need to start again to build any other credible opposition. Sad but that's reality!
 
Akili yako haina tofauti na akili ya mama yako!

Si mzazi wake kuna ubaya gani kuwa na akiri zinazofanana na za mzazi wake. Kama unapenda siasa ya kukosoana jifunze na ufumilivu, maana ya kukosoana ndiko watu au vyama hujirekebisha makosa na kufanya vizuri. Usipende siasa kama shabiki wa mpira, siasa ni maendeleo usimtukane mtu jibu hoja kwa hoja ndiyo Democrasy sicho unacho amini wewe unataka watu wote waamini hivyo.
 
Hivi Chadema ni chama cha watu wa Kaskazini tu,mimi nilidhani,huo ukatibu mkuu lazima apewe mtu wa kaskazini?mgombea uraisi kaskazini,mwenyekiti,kaskazini,katibu mkuu kaskazini,wakuu wa vitengo kaskazini,hiki sio chama bali ni klabu.

Sikulijua hili,uwenda watu wa kanda nyingine nchini hawautaki uongozi ndani ya Chadema.
 
'Chadema hatugawani vyeo bali majukumu'- Mbowe. Na sie wa Nyanda wa nyanda za juu kusini tunahitaji 'Majukumu' kama haya ya Sumaye anayopewa sio kila siku kufagilishwa barabara na kuzungusha mikono.

Hizo ni nafasi za watu wa kaskazini,kama ni kweli,sumaye anakwenda kuua chadema.bora wangempa mnyika tu,amekua naibu kwa kipindi kinachotosha kupewa ukatibu
 
Sumaye hafai,ila sema kwa uhaba watu walionao,na deni walilonalo kwa lowasa sawa
 
Back
Top Bottom