Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

Sumaye kuwa Katibu Mkuu CHADEMA?

Sumaye ni Mpambanaji atatufaa sana Kamanda Sumaye chukua Ukatibu Uwanyooshe CCM

leo hiiii Mr Zero amekua mpambanaji? ??!!!! chadema imefilisika kisiasa. hivi mnawaacha kina prof Baregu, Safari, Marandu wazee wa hekima wenye misimamo isiyoyumba mnamuweka kilaza huyu.?? halaf mtegemee kupata wanachama! ?? kwa ajili ya kitu gani
 
Mara nyingi MTU akituhumu

Jambo Fulani huwa Na katabia kanakofanana Na hicho
Anachotuhumu !

Na hiyo ndiyo tabia yake !
 
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.

Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.

Tusubiri

Hata ikiwa hatutoshangaa sbb CV yao ni kuwa uwe mtu wa kutoka kaskazini
 
Wonders will never ends. Wamempa mwizi top job,mnampa mwizi utendaji wa taasisi!! Misingi yenu ya uzalendo na ajenda yenu ya ufisadi ipo wapi?
 
Jamaa alikuwa meneja kampeni wa CDM. 😛eace:😛eace:😛eace:
 
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..

Kinana aligombea na nani? Slaa aligombea na nani?
 
WanaJF
Waziri mkuu mstaafu Mh Frederick Sumaye amejiunga rasmi na CHADEMA mjini Arusha kwenye mkutano wa kufunga kampeni za kumnadi Godbless Lema.

Haya ni maandalizi ya awali ya kumwandaa Sumaye kushika nafasi ya ukatibu mkuu wa CHADEMA, nafasi iliyoachwa na Dr. Slaa.

Tusubiri

Kwahiyo?
 
Kweli hiki ni kichekesho....huyu jamaa ataweza kuvaa viatu vya Dr. Wilbroad Slaa??? Labda kuwe na makatibu wakuu wawili, Sumaye na Kingunge, combined ndo wanaweza kumkaribia Dr.
Cc Mzee Mwanakijiji

Tatizo la sumaye hana meli ya kupeleka vipusa ulaya na asia
 
Last edited by a moderator:
naona wameamua kupigilia msumari wa mwisho chadema, kwa mtaji huu wa Mr Zero chadema ndio itapotea kabisaaa. mnawachezea wananchi kwa faida yenu naona.

Afadhali utakenua hayo magego yako
 
Hizi ni habari za uhakika kabisa... Na hauto fanyika uchaguzi bali atapewa hicho kiti kwakuwa ni mtu wa Mgombea Urais..
Hili ni deni lingine ambalo chadema wanamlipa Lowasa..

Ukiambiwa una akili za ndezi unaruka ruka kama chura kwa hasira
 
Kama ni kweli nazidi kuamini kuwa chadema ni chama cha kikanda. Chama cha kaskazini

Ndio maana hata uteuzi wao wa mgombea uspika na naibu ulifuata msingi hiyo,Mgombea uspika alitoka Arusha, naibu spika Kilimanjaro, mwenyekiti wa chama Kilimanjaro, mwenyekiti mwenza wa ukawa Kilimanjaro.......alafu mnatuzingua hapa .
 
Anafaaaaaaa kama nape kafaa uwaziri why not SUMAY TO BE G/SECRETARY AT CHADEMA PART?
 
Aisee yaan wanajizika mchana peupe kabisaaa..uiiiw hiv chadema yote hamna majembe ya kuperfom hizo kazi mpaka makapi ya CCM... duuuh polen sana
 
Tukiachana na dhana kulipa fadhila au deni. Je Sumaye anafaa au hafai? Je ataweza kuongoza mapambano kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake Dr Slaa ingawa aliamua kukabidhi silaha kwa adui?

Mr. Zero hana uwezo wa kufikia viwango vya utendaji kama Dr. Slaa; bora hicho cheo apewe Prof. Abdallah Safari
 
Back
Top Bottom