Recent content by Obamamtoto1983

  1. O

    Kiwanja kinauzwa maeneo ya Boma Siara karibu na Masai camp

    Kwa wale wa arusha kuna kiwanja kinauzwa maeneo ya boma siara karibu na masai camp kuna njia,umeme,maji ni mita 27 kwa 20 na pia kama unaitaji viwanja au shamba bado nicheki 0755710380 pia kama kuna kiwanja kinauzwa kipo karibu na mlima maeneo ya mjini usisite kunitafuta 0755710380
  2. O

    Ukichelewa tu bei inaongezeka

    Wadau vipi kwema wote kwa walio arusha kama unahitaji kiwanja au shamba nicheki ila kuna kuwanja pia maeneo ya boma saira karibu na masai camp mita 27 kwa 21 pia natafuta kiwanja ambacho kipo karibu na mlima tuwasiliane 0755710380
  3. O

    Pasaka: Asili, umuhimu wake na tamaduni zetu

    hii wanaelewa matengenezo au masalia tu
  4. O

    Watu wanne waliojiita manabii wapigwa kwa mawe baada ya nyoka kutoka kwenye begi lao

    acha kuumiza kichwa na watoto wa mama mdogo(waislam) cku zote wanahci hawana haki au wanaonewa huwa nikishajua ni wao wala ciumz kichwa
  5. O

    Draw ya Klabu Bingwa ulaya 2013/2014 - Robo fainali

    tarehe 1/04 na 2/04 marudian 8 /4 na 9/04
  6. O

    Draw ya Klabu Bingwa ulaya 2013/2014 - Robo fainali

    Mungu iwezeshe man u ifanye kweli amen
  7. O

    Draw ya Klabu Bingwa ulaya 2013/2014 - Robo fainali

    Kwa wale wapenz wa Man u kitu kisha toka 2nakutana na BAYERN xijui Yule Mungu wetu bdo ataendlea kuwa na cici au la
  8. O

    Nchi za magharibi ni zipi?

    axe kweli meipenda xana Mungu akupe yte
  9. O

    Aisee maisha ya Tanzania tabu sana

    Mwanangu njoo huku kwe2 maisha simple xana ila ujue kulima mana nijembe asubuhi paka jioni ukilala unawaza utamaliza lini mvua zicizidi
  10. O

    ajali ya gari yaua wafanyakazi wa halmashauri ya nanyumbu.

    Doo! Nimeipenda xana hapo alpo cema na KAZEE KAME VUNJIKA MBAVU kumbe cio mzee
  11. O

    Ni mfumo upi mzuri wa kuacha matumizi nyumbani?

    Wadau mi naona inategemea na mazingira na weng tayr mmeshamalza kuzungmza ila kikubwa inategemea na aina ya mwanamke uliye naye kama anakupelekesha anavyotaka hahaha hapo ndipo mipango yako itakwenda hovyo
  12. O

    Uongozi wa juu CHADEMA,,umbea wenu ndio chanzo cha Zitto kukimbilia mahakamani,,!

    Mgogoro wa Zito na CDM halijanza tokea alposimamishwa uanachama mwaka jana bali ikumbukwe kunakpndi bungen kama ntakuwa ciko xawa ni 2010 wakati wabunge wa chadema waltoka nje yeye akagma xo hata kama kuvumilika kavumilika vya kutoxha ciasa za chadma hazimtegemei Zito
Back
Top Bottom