mwambojoke
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 1,090
- 653
- Thread starter
- #21
andamana
Halafu iweje? Kuwa mstaarabu, sio kila kitu lazima uchangie.
andamana
wakuu, kwa elimu yangu ya darasa la tatu la enzi hizo na uzoefu wangu kidogo wa mambo ya kisiasa na kiuchumi, nchi za magharibu "western countries" zinajulikana hivyo si kwa sababu za kijiografia ila ni kwa kwa sababu za kimaendeleo - hapo kuna akina G8, G20 na kadhalika (sifahamu zinanatkiwa kuwa na GDP ya kiasi gani) ila nchi za magharibu ni zile nchi Tajiri kiuchumi na kimaendeleo, wababe, na ambao wakikohoa tu wewe ka...ja,,,mb,,,a nani unapata hofu, hizi ni developed countries .
Ili hali nchi za kusini: ni nchi ambazo kwa kusema ukweli zinaishi kwa kumtegemea Mungu tu, na ambazo zipo hoi kiuchumi na kimaendeleo ya namna yoyote - hizi ni ndizo huitwa LDC ambazo GDP yake naona hata aibu kuisema ila kwa ufupi Tanzania tumo pamoja na nchi nyingi za kiafrica, Karibiani na Latin Amerika.
Na kwa mfumo huu nadhani hatuna nchi za kaskazini wala mashariki

kwa nini nchi kama Tanzania inaitwa nchi dunia ya tatu "third world country"?? je kuna dunia tatu?? na je "second world countries" ni zipi?
je na mtu aliye location tofauti na yetu nae atasema ni nchi za magharibi?
Napata utata kidogo katika tafsiri ya 'Nchi za magharibi' hasa pale linpokuja suala la kuzijumuisha nchi za ulaya na Amerika.kimsingi utata zaidi unakuja nikihusianisha jiografia ya nchi hizi na jina lenyewe ' Nchi za Magharibi' .Kwa anayejua jua hasa tafsiri hii anisaidie hili.
Hii ilitokana na misimamo ya siasa za kibepari na kikomunist wale wakomunist waliwaita wenzao "wamagharibi" and viceversa,taabu ikaja watu wa 'dunia ya tatu "ambao hatuko mashariki wala magharibi nasi tukazibeba nchi za ulaya zote na america "za magharibi" ila kiukweli jina hili ni zao la vita baridi kati ya wakomunisti na mabepari(mtizamo wangu ruksa kusahihishwa)wakuu, kwa elimu yangu ya darasa la tatu la enzi hizo na uzoefu wangu kidogo wa mambo ya kisiasa na kiuchumi, nchi za magharibu "western countries" zinajulikana hivyo si kwa sababu za kijiografia ila ni kwa kwa sababu za kimaendeleo - hapo kuna akina G8, G20 na kadhalika (sifahamu zinanatkiwa kuwa na GDP ya kiasi gani) ila nchi za magharibu ni zile nchi Tajiri kiuchumi na kimaendeleo, wababe, na ambao wakikohoa tu wewe ka...ja,,,mb,,,a nani unapata hofu, hizi ni developed countries .
Ili hali nchi za kusini: ni nchi ambazo kwa kusema ukweli zinaishi kwa kumtegemea Mungu tu, na ambazo zipo hoi kiuchumi na kimaendeleo ya namna yoyote - hizi ni ndizo huitwa LDC ambazo GDP yake naona hata aibu kuisema ila kwa ufupi Tanzania tumo pamoja na nchi nyingi za kiafrica, Karibiani na Latin Amerika.
Na kwa mfumo huu nadhani hatuna nchi za kaskazini wala mashariki
wakuu, kwa elimu yangu ya darasa la tatu la enzi hizo na uzoefu wangu kidogo wa mambo ya kisiasa na kiuchumi, nchi za magharibu "western countries" zinajulikana hivyo si kwa sababu za kijiografia ila ni kwa kwa sababu za kimaendeleo - hapo kuna akina G8, G20 na kadhalika (sifahamu zinanatkiwa kuwa na GDP ya kiasi gani) ila nchi za magharibu ni zile nchi Tajiri kiuchumi na kimaendeleo, wababe, na ambao wakikohoa tu wewe ka...ja,,,mb,,,a nani unapata hofu, hizi ni developed countries .
Ili hali nchi za kusini: ni nchi ambazo kwa kusema ukweli zinaishi kwa kumtegemea Mungu tu, na ambazo zipo hoi kiuchumi na kimaendeleo ya namna yoyote - hizi ni ndizo huitwa LDC ambazo GDP yake naona hata aibu kuisema ila kwa ufupi Tanzania tumo pamoja na nchi nyingi za kiafrica, Karibiani na Latin Amerika.
Na kwa mfumo huu nadhani hatuna nchi za kaskazini wala mashariki
Ngoja nami nijaribu kukujibu,
Kwanza unaujua mstari wa Longitude kuu?? Iko mistari mingi lakini mi nazungumzia ule Mkuu wenye Nyuzi 0. Sasa Ule ni imaginary line ulioigawa dunia. Unatoka kaskazini (juu) hadi kusini (chini) .
Sasa basi ukichora ule mstari, chochote kilichoko kulia ni kiko mashariki, na chochote kilichoko kushoto kiko magharabi. Assumption ni kua umeelekea kaskazini.
Sasa Nchi za magharibi zinatokea kushoto kwa ule mstari. Labda tatizo lije kwamba why mfano Morocco haipo kwenye "Nchi za Magharibi" wakati yenyewe ipo Kushoto kwa Longitude kuu, hapo wataendelea wengine!!
Hebu na mimi niongeze langu la moyoni,,,,,,,,,,,
Tanzania kwa upande wa Mashariki inazungukwa na Bahari.Ambayo Inaitwa Bahari ya Hindi(INDIA OCEAN)
Sasa kwanini Bahari hii isiitwe bahari ya Tanganyika,Tanzania au hata Zanzibar.Ni kipi haswa/au kigezo gani kilichotumika kuiita bahari ya Hindi.?
Ufafanuzi na Maelezo tafadhali
hasante!
Kadiri unavyopunguza uwezo wa kutafiti ndivyo unavyoongeza uwezo wa kutegemea.
TUnaposema nchi za magharibi zaidi ni ile ideology waliokuwa nayo na huwa haimaanishi sana kijiografia....The western ideology hata kama upo mashariki ukiwa unafuata western ideology utaitwa mmagharibi....stuka...
kaka hiyo East na West ina reference ya nchi za Ulaya, labda inawezekan reference ilikuwa pale german wakati vita ya Hitler inaisha na ndio berlin ikagawanya pale na kuwa East german iliyokuwa na Urusi na kisha USSR na upande wa west ilyokuwa na Uingerza, ufaranza na Marekania(japo yeye sio wa Europa) na ndio kukawa na East na West Europa,
kutokana na misimamo ya kisias ya wakati huo, labda mpaka sasa nchi za West ziliendelea sanamkiuchumi kutokana na mfumo wao wa sias walikuwa wakiufat(Ubepari) kulinganisha na siasa za kicomunist za Russia na wenzie (yugoslavia, Poland, East garnam nk)
Unaposea nchi za Magharibi unakwa na geographical reference ya Europa probably kutokea German
Cc😡Mwambojoke
Hii ilitokana na misimamo ya siasa za kibepari na kikomunist wale wakomunist waliwaita wenzao "wamagharibi" and viceversa,taabu ikaja watu wa 'dunia ya tatu "ambao hatuko mashariki wala magharibi nasi tukazibeba nchi za ulaya zote na america "za magharibi" ila kiukweli jina hili ni zao la vita baridi kati ya wakomunisti na mabepari(mtizamo wangu ruksa kusahihishwa)
nashukuru kwa muongozo wako!! kuna hili ten...
Mkuu Kituko: inawezekana ukawa unachanganya, ila ukija kwenye suala la kijiografia ni kweli kabisa kuna nchi za Ulaya Magharibi na Ulaya Mashariki (hizo zipo kabisa na wala si utani na haziangalii uchumi,maendeleo ama umaskini) hizi ni kama Afrika mashariki na Afrika Magharibi, kusini, n.k., yaani hii unaangalia kabisa jua linachomoza wapi na kuzama wapi. Ukiangalia Marekani ipo Magharibi ya Dunia "kijiografia na ipo bara la Amerika kaskazini" na haipo ulaya (europe).
Nchi zilizopo Ulaya Magharibi ni - kijiografia: "United Kingdom, France, Netherlands, Belgium, Luxembourg, Germany, Italy, Ireland, Denmark, Norway, Iceland, Sweden, Finland, Austria,nk" Marekani kwa maana ya USA haimo.
Na nchi za Ulaya Mashariki Kijiografia: Russia, Czech Republic, Poland, Hungary,Romania,Moldova,Croatia,Lithuania, Latvia, Estonia,Slovenia,Slovakia,Bulgaria,Ukraine, Belarus,Serbia,Montenegro, Bosnia na Herzegovina,Albania, Kosovo, na Macedonia".
Japo nakubaliana na wewe kuwa hapo mwanzo kulikuwa na uhusiano mkubwa kabisa kuwa hizo pande mbili (Ulaya Magharibi na Mashariki) zilitokana na habari za ubepari na ujamaa (ukomunisti) ambapo utakuta nchi nyingi za ulaya Mashariki zilikuwa ni waumini wa Ukomunisti - chini ya iliyokuwa USSR na upande wa pili nchi za ulaya magharibi zilikuwa na waumini wa ubepari chini ya Uingereza, ujerumani (magharibi).
Lakini kwa kumalizia ni kuwa Ulaya Magharibi na Mashariki tofauti yao ni kijiografia zaidi kuliko kimaendeleo ama mfumo wa kisiasa.