Recent content by O29

  1. O29

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kupewa na mwanamke wako/rafiki pesa, laki na kuendelea ?

    Wanatoa sema inategemea na maisha yenu kiujumla, au umemshika wapi? Ukimshika pabaya utaishi vizuri
  2. O29

    JamiiForums Tanzania Hii ya watu zaidi 500 kuuliwa na wakakili , inaweza kuwatoa madarakani?

    Wakuchukiwa haswaa
  3. O29

    JamiiForums Tanzania Hii ya watu zaidi 500 kuuliwa na wakakili , inaweza kuwatoa madarakani?

    Wazalendo Hatuhitaji sababu nyingine ya kuwatoa wauaji madarakani, kama ulikuwa hauamini juu ya utekaji labda ulikuwa ukiona watu wanajiteka wenyewe Kwa wenyewe basi itoshe kusema kuwa hatuna sababu nyingine ya kuwatoa Hawa wahuni madalakani watu zaidi ya 500 wameuawa na wamethibitisha kuwa...
  4. O29

    JamiiForums Tanzania Kosa hili la kidiplomasia la Rais Samia ndio lilisababisha mpango wa Dangote wa Refinery ubadilishwe kutoka Tanga na kwenda Mombasa

    Mkuu, Mwisho wa siku Hawa viongozi wanatuletea mzaha tu alafu wanachijua hatuwezi kuchukua hatuna yeyote Wamesoma ,wanauelewa alaf wanayofanya sawa na bure tu, ukweli ni huo tunatakiwa tuache miladi au Mali zote tulizonazo mpaka tupate elimu na uelewa wa kufanya vitupe manufaa kama alivyosema...
  5. O29

    JamiiForums Tanzania Tanzania tuna police force na kwanini? Hatuna police service

    L/G Hii inatokana na Nini? Na sitaki kuamini ni Africa nzima tupo hivi ila ningependa niwasilishe hii Kwa nchi hii pendwa ya Tanzania Kwanini? Ni police force na sio police service, unakuta police anaogopwa na raia hata akihitaji ushirikiano na wananchi wanaweza wakamuhepuka Kwa kuogopa...
  6. O29

    JamiiForums Tanzania Kosa hili la kidiplomasia la Rais Samia ndio lilisababisha mpango wa Dangote wa Refinery ubadilishwe kutoka Tanga na kwenda Mombasa

    Haijalishi niulizie kitu Gani? Kikubwa madini,gas,mbuga, na Mali asli zote kama zipo kwetu tunatakiwa tunufaike nazo haijalishi Mkuu, nyie mnaojifanya wasomi tengenezeni mikakati rafiki na raia wa kawaida anufaike, Kodi zipo juu na hakuna mradi wowote unaokisaidia taifa , nchi Ina madeni kibao...
  7. O29

    JamiiForums Tanzania Pigeni mswaki

    Wapige mswaki Dini Fulani , imekemea juu ya kitunguu swaumu , yaani ukila chakula au vitu vilivyonakshiwa na kitunguu swaumu, hakikisha unapiga mswaki vizuri kabla haujaenda kwenye ibada, kama ukienda ivyo ivyo unakuwa kero na itapelekea kuwafanya wengine wasiwe watulivu kwenye ibada juu ya...
  8. O29

    JamiiForums Tanzania Kosa hili la kidiplomasia la Rais Samia ndio lilisababisha mpango wa Dangote wa Refinery ubadilishwe kutoka Tanga na kwenda Mombasa

    Haijalishi niulizie kitu Gani? Kikubwa madini,gas,mbuga, na Mali asli zote kama zipo kwetu tunatakiwa tunufaike nazo haijalishi Mkuu, nyie mnaojifanya wasomi tengenezeni mikakati rafiki na raia wa kawaida anufaike, Kodi zipo juu na hakuna mradi wowote unaokisaidia taifa , nchi Ina madeni kibao...
  9. O29

    JamiiForums Tanzania Kosa hili la kidiplomasia la Rais Samia ndio lilisababisha mpango wa Dangote wa Refinery ubadilishwe kutoka Tanga na kwenda Mombasa

    Kwenye hayo makubaliano Samia alikuwepo? Hakuwa hata na muwakilishi? By the way tuna gesi hapo mtwara na mitungi wa gesi tunauziwa kama wakimbizi hata Bomba la mafuta kuletwa mpaka Tanga itakuwa kama paka na panya tu, halitakuwa na mantiki
  10. O29

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada mimba ya 5 sasa inatoka

    Ukifatilia vyote ulivyoshahuriwa, na mkeo akibeba ujauzito tena jaribu kubadili mazingira ya kulea ujauzito wa mkeo Sio kuhusu uchawi/kulongwa hii najaribu kuelezea natural ya mazingira, kumbuka nimekwambia baada ya kufata ushahuri hapo juu, umuone doctor na shauri zingine then mkeo akipata...
  11. O29

    JamiiForums Tanzania Inawezekana mtuhumiwa kutoroka kituo cha polisi?

    Pole sana mkuu, mlifanya vyema sana kumpeleka polis, mitaa ninayotoka mtu kama huyo hapelekwi polis ikibainika amefanya tukio hilo kinaga ubaga, karma ya mitaa yeti inafanya kazi haraka sana, pole sana mkuu
  12. O29

    JamiiForums Tanzania Ila wadada mmh, ni wachafu sana

    Kakuibia elfu 5 Yako, masister duuh wa bei rahisi ndio walivyo
Back
Top Bottom