Recent content by O shetembo

  1. O shetembo

    JamiiForums Tanzania Vijana waongoza kwenye maambukizi mapya ya VVU, Wasichana ndio vinara

    Changamoto, wadada wengi hawataki kinga. Wanasema sio tamu
  2. O shetembo

    JamiiForums Tanzania Kutotekeleza mapendekezo ya CAG kunapelekea upotevu wa fedha za umma

    Hizi report na haya mapendekezo yangelikuwa yanafanyiwa kazi. Mambo yangekuwa ni bull bull. Badilisha hyo sentesi kuwa wakati ujao timilifu
  3. O shetembo

    JamiiForums Tanzania UN: Waafrika milioni 118 watakabiliwa na ukame, mafuriko na joto kali ifikapo 2030

    Mipango yao ya upandaji miti. Sio endelevu. Imetawaliwa na mihemko tu
  4. O shetembo

    JamiiForums Tanzania Zingatia matumizi sahihi ya dawa

    Uzi unavutia ✊
  5. O shetembo

    JamiiForums Tanzania Ni umri gani hutakiwi kuvuka kabla ya kupata mtoto wa kwanza?

    We mjamaa utengenezewe sanamu la ukumbusho. Una hoja za kufikilika sana
  6. O shetembo

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Waliokimbia CHADEMA watarudi, tutawasamehe dhambi zao

    Hakuna haja ya kuwasamehe. Kwasababu machungu tunayo yapata wananchi kwa kumchagua mtu halafu tamaa zake za tumbo. Anahama chama. Inatuchosha sana wananchi
  7. O shetembo

    JamiiForums Tanzania Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

    Microbiology, MUHAS 🙌🙌
  8. O shetembo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mombasa: Kondakta wa basi la shule mbaroni kwa kudaiwa kumbaka mtoto wa miaka 5

    Kwann huyo dogo asiseme kwamba alibakwa akaamua kukaa kimya
  9. O shetembo

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Corona: Serikali itoe taarifa uwepo wa Ugonjwa wa COVID-19 na kuruhusu matumizi huru ya chanjo

    Mwanang umeongea point sana 🧠
Back
Top Bottom