Recent content by nzwelele

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nakunywa bia kisiri siri safarini, nifanyeje ili mke wangu anikubalie kunywa kwa uhuru?

    Umeoa au umeolewa? Wewe maamuzi yanatoka kwa mwanamke??? We vipi untuaibisha na uzi wako huu bhana mwanaume anatakiwa kusimama kama mwanaume ni amri moja sasa vitu vidogo kama hivi unamuogopa mwanamke hakuna ndoa hapo
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli sisi wananchi wa Singida Mashariki tunahitaji mbunge

    Daaaaah Watanzania ndio tumekuwa na roho mbaya kiasi cha huyu shetani aliyeleta uzi huu??? hana utu hana busara daaaaah!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Utata Kuhusu Taarifa Tuzo Za Mandela, 2017

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
  4. N

    JamiiForums Tanzania Tupoteze mawazo kidogo,,,weka caption hapa

    Demu anagundua jamaa sio mfanyakazi wa TRA ni muuza miwa tu
  5. N

    JamiiForums Tanzania Tupoteze mawazo kidogo,,,weka caption hapa

    True
  6. N

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aandae chakula cha pamoja na familia za wahanga JWTZ

    Pesa si zipo za kuchota tu kwani uwanja wa Chato unajengwa kwa bajeti IPI?????
  7. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmeishiwa kabisa siku hizi

    Acha kujitoa ufahamu wewe na usijifanye hujui kuhusu hili watu wengine bwana
  8. N

    JamiiForums Tanzania Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

    Ulichokiongea ni ukweli mtup kwamba unakuta mume kaoa lakini anakuwa hajaridhika na mke huku akiamini huyo si chaguo lake na upande wa mke hivyo hivyo
  9. N

    JamiiForums Tanzania PSG mtimueni Unai Emery haraka sana

    Mi sijaona timu isiyofungwa duniani
  10. N

    JamiiForums Tanzania PSG mtimueni Unai Emery haraka sana

    Hujui mpira wewe tulia
  11. N

    JamiiForums Tanzania That's tata Museven..!

    Huyu hana hofu ya Mungu na haogopi uwepo wa Mungu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ahudhuria mazishi ya Mbwa wa Nassari

    Kuzika mbwa na Camera/video ni ujumbe mkubwa sana kwa watawala madikteta,wauaji,wanaotumia pesa zetu hovyo Kwa ajiri ya Kuua upinzani huku wakisahau kuwa wapo hapo kwa muda fulani tu na kamwe hawawezi kuishi milele
  13. N

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ahudhuria mazishi ya Mbwa wa Nassari

    Kuzika mbwa na kuita camera na video kuna maana kubwa sana kwetu sisi tulio upande huu wewe mtoto wa mama huwezi jua kalia ushoga wako na umbea wako
  14. N

    JamiiForums Tanzania CCM ipo kwenye hatua za mwisho kuanguka

    Mkuu kauli yako imeonekana ya kitoto ndio maana nikakujibu hivyo
Back
Top Bottom