CHADEMA mmeishiwa kabisa siku hizi

haswaaaaaa mi simuamini wala sifurahishwi na utendaji wa jpm i dont trust him naona tu kama anaendelea kupiga pushap hakuna kinachoendelea huku mitaani lakin kila uchwao tunasikia oooh sijui uchumi umepanda sijui blabla wakati mambo magumu biashara hakuna makampuni hayainuki zaid yanakufa raia hawana kazi woyeeeeeeeee itanichukua miaka 15 kuelewa huyu baba aliifanyia nini TANZANIA HIYO HAITABADILIKA KWANGU LABDA MPAKA NIONEE MABADILIKO YA KWELI LAKINI KAMA NI KUSIMAMA MAJUKWAANI KUTUAMBIA KAJENGA VIWANDO BLABLA WAKATI HATUVIONI NEVER NIKIWA DUNIA HII LABDA HUKO KWA SIR GOD
Unangoja Magufuli akutengee ugali mezani? Ha ha ha, utangoja sana.
 
haswaaaaaa mi simuamini wala sifurahishwi na utendaji wa jpm i dont trust him naona tu kama anaendelea kupiga pushap hakuna kinachoendelea huku mitaani lakin kila uchwao tunasikia oooh sijui uchumi umepanda sijui blabla wakati mambo magumu biashara hakuna makampuni hayainuki zaid yanakufa raia hawana kazi woyeeeeeeeee itanichukua miaka 15 kuelewa huyu baba aliifanyia nini TANZANIA HIYO HAITABADILIKA KWANGU LABDA MPAKA NIONEE MABADILIKO YA KWELI LAKINI KAMA NI KUSIMAMA MAJUKWAANI KUTUAMBIA KAJENGA VIWANDO BLABLA WAKATI HATUVIONI NEVER NIKIWA DUNIA HII LABDA HUKO KWA SIR GOD

Hamia Kenya.
 
Tatizo la hawa ndugu zetu tukiwaambia ukweli wanakimbilia kututukana na kutu label ccm kama vile walitulipia kadi za ccm. Agenda yao imechukuliwa na Magufuli. Hata wakisema Magufuli atatekeleza ilani yao ni sawa maana Magufuli ni rais wa Tanzania na si wa Kenya atachukua kile anakiona kizuri kutoka kokote hata upinzani kwa maslahi ya Taifa.

Ninachokiona mimi ni chadema kugeuka nccr na chama kingine cha maana kujitokeza angalao kitatuvutia hata sisi wengine
Hivi Magufuli amefanya makubwa kuzizidi USA, Canada, Europe na Japan?

Mbona huko watu hawahami kwenye vyama vyao? Are u blind?
 
Hilo sina ushahidi nalo lakini i will bet that hakuna mtu aliyepambana kupata kura kwa upinzani halafu aachie ulaji hivihivi kama alivyosema KUbenea juzi. Marupurupu yote hayo ayaache? Kanuni za kimaumbile zinakataa kabisaa.
Nyalandu yeye kanunuliwa kwa ngapi au yeye hakuwa na marupurupu?
 
Tatizo sio Chadema tatizo ni watu popo,hawajitambui.Kukosa ustaarabu na kugeukageuka kama kinyonga pale wanapoitiwa ulaji iwe harusini au makaburini.Lakini hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Sasa kelele za nini. Unafikiri ndio nitakusikiliza? Ha ha ha.

Mimi mwenyewe simsikilizi anzia huyo boss wenu we kama soli yake ya kiatu nakusikiliza vipi siwezi sikiza uchafu mie tehetehe mpaka10 ipite simsikilizi wacha niendelee na mambo mengine amenikuta na ataniacha kama nilivyo
 
Hilo sina ushahidi nalo lakini i will bet that hakuna mtu aliyepambana kupata kura kwa upinzani halafu aachie ulaji hivihivi kama alivyosema KUbenea juzi. Marupurupu yote hayo ayaache? Kanuni za kimaumbile zinakataa kabisaa.

Kubenea yupi huyo? Ile tabia yake ya ufitini na uongo kwani kashaiacha mpaka umuamini? Refer Lowasa fisadi topics in his newspapers
 
Nyalandu yeye kanunuliwa kwa ngapi au yeye hakuwa na marupurupu?

Nyalandu jambo lake lipo wazi kabisa. alishajua kwamba atafukuzwa CCM. Alichokifanya ili kupandisha thamani yake na kulinda heshima ni kuwawahi kutangaza kuhama.
 
Hamia Kenya.
We kwavile unabeba mabox huko unadhani kila mtu anataka kubeba mabox pambana na mabox yako sina mpango wa kutoka nje ya mpaka wa Tanzania kwenda popote hapa ni kwetu....................
Kwa hiyo CCM inatufanyia upuuzi ili tuhame ? Ama nini hatuhami wala hatunyamazi
 
Hivi Magufuli amefanya makubwa kuzizidi USA, Canada, Europe na Japan?

Mbona huko watu hawahami kwenye vyama vyao? Are u blind?
Sidhani kama utashi wa siasa za huko ulaya na hapa zinafanana kwa aina yoyote ile hapa kwetu mtu akiwa Chadema au CCM utamsikia mimi likiwekwa jiwe na CCM nitapigia jiwe ,kwa wenzetu hamna kitu kama icho ...umefananisha vitu visivofananishika ata kama wote wanasiasa.
 
Hayo ya Kubenea ni speculations tu.

Kwa Mbunge kuamua kuacha ubunge wake hasa upande wa upinzani kuna haya:
Vitisho vikiambatana na kusakiziwa kesi kubwa kama za mauaji,kubaka,ujambazi wa kutumia silaha,madawa ya kulevya na kufilisiwa.

Kuahidiwa vyeo,pesa ambayo vyote vinauwezo wakurudisha haki yake kama Mbunge.

Kuwapromised kugombea Ubunge kwa tiketi ya CCM.

Kinachoshangaza lea CCM wanamajority wabunge ni sababu siku za kuendelea kununua au kurubuni wabunge wa upinzani.

Huwezi kuua upinzani kwa njia hiyo.Utaua upinzani kwa shameless yale wannchi wanayoyahitaji kama afya bora,elimu,ujinga,na miundo mbinu ya Maji na barabara
 
haswaaaaaa mi simuamini wala sifurahishwi na utendaji wa jpm i dont trust him naona tu kama anaendelea kupiga pushap hakuna kinachoendelea huku mitaani lakin kila uchwao tunasikia oooh sijui uchumi umepanda sijui blabla wakati mambo magumu biashara hakuna makampuni hayainuki zaid yanakufa raia hawana kazi woyeeeeeeeee itanichukua miaka 15 kuelewa huyu baba aliifanyia nini TANZANIA HIYO HAITABADILIKA KWANGU LABDA MPAKA NIONEE MABADILIKO YA KWELI LAKINI KAMA NI KUSIMAMA MAJUKWAANI KUTUAMBIA KAJENGA VIWANDO BLABLA WAKATI HATUVIONI NEVER NIKIWA DUNIA HII LABDA HUKO KWA SIR GOD
VIWANDA MBONA VINAFUNGULIWA MKUU, MAENDELEO NI PROGRESSIVE HUWEZI KULALA NA KUAMKA UKAJIKUTA KAMA UKO ULAYA IT TAKES TIME, imagine madawati mashuleni, mikopo ya wanafunzi, hostel UDSM, reli SGR ,ATCL mdogo mdogo tutafika
 
Na mkiendelea kukana kinachoendelea ndani hilo lichama lenu basi hata 2018 mnaweza msiimalize na kujikuta mnakufa kabisa.

Kipi wanakikana???. Punguza mahaba na kijani ! Baki kuwa raia wa kawaida na mpenzi wa Mungu! Umri huo siyo wa kitoto
 
Tundulisu anayasikia yanayoendelea huku, na akirudi atakuwa ameshajipanga kurudisha hadhi ya chama chetu, ili wanachama wasiendelee kuhama.
Mwambieni mwenyekiti awapige picha za utupu wabunge wake ili awablack mail..hahahaa.kila sehemu warning alarm zinalia chama kinajifia.
 
Back
Top Bottom