Utata Kuhusu Taarifa Tuzo Za Mandela, 2017

Utata Kuhusu Taarifa Tuzo Za Mandela, 2017

Mkuu sijui namna ya kulink but tembelea uzi aliouanzisha [HASHTAG]#yericko nyerere[/HASHTAG] Soma comment ya [HASHTAG]#daby[/HASHTAG]

Ni 'Fake News' ndugu yangu Sadock Njinginya. Na tayari gazeti la Mwananchi limekosolewa vikali kwa kurukia habari hiyo bila ya kuifanyia utafiti. Kama hiyo haitoshi, link iliyo na video kila uki-click inakupa ujumbe...'video unavailable'.
 
Afrika kusini wanamjua Nyerere hiyo Kikwete walimfahamu hasa alipohutubia vizuri historia ya Mandela kutumia passport ya Tanzania kwenda Libya na aliporudi SA alikamatwa kusafiri bila ruhusa na kusema waliosafiri kwa kutumia hati ya Tanzania ni wengi hata Mbeki anayo aliulizwa kama karudisha enzi za utawala wa kaburu huyo mlienae sasa hajulikani na hawezi kupewa tuzo kubwa hiyo...
 
Tu-mbwa twa Lumumba ndo tulitangaza hiyo tuzo! Lumumba hawanaga akili!!
 
Magufuli anapenda sifa kupita maelezo.
Mkimuhakikishia kuwa akisaula hadharani mtamsifi kwa nderemo na vifijo ninauhakika atazivulia jukwaani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni 'Fake News' ndugu yangu Sadock Njinginya. Na tayari gazeti la Mwananchi limekosolewa vikali kwa kurukia habari hiyo bila ya kuifanyia utafiti. Kama hiyo haitoshi, link iliyo na video kila uki-click inakupa ujumbe...'video unavailable'.
Sawa Sawa Mkuu nimeshaiona fake news
 
Back
Top Bottom