Recent content by nzobanga

  1. N

    JamiiForums Tanzania tufungukeni majina ya wanyakyusa...naaanza

    mbonile, Mwakapusya, mwakalinga
  2. N

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba kujuzwa kuhusu bei ya vigae hapa Dar es salaam

    Naomba nipewe mwanga kuhusu bei ya vigae vya chini kwa hapa Dar es salaam Vigae vya 60cm kwa 60cm, 50cm kwa 50cm na mwisho 20cm kwa 20cm vinakaa vingapi kwenye box na bei kwa box
  3. N

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya Umeme

    Jamani naomba kujuzwa kuhusu vifaa vya umeme vyenye uhakika pamoja na bei zake kuna hizi maiswichi za AVETA zina saketi breka je ni imara, waya zipi ni nzuri mwenye kujua anijuze
  4. N

    JamiiForums Tanzania Vidole vinauma vinaonesha kama vimelegea

    Wana jamii naomba kupata ushauri vidole vya migguni na mikononi vinauma, pia vinakuwa kama vinalegea hivi ni ugonjwa gani naomba kupata ushauri kabla sijaenda hospitali kwa anayejua tafadhari
  5. N

    JamiiForums Tanzania Kubadilisha Navigator iliicheze DVD

    Wadau naomba mnijuze wapi naweza pata fundi wa kubadilisha Navigator itumike kama DVD.
  6. N

    JamiiForums Tanzania Naweza pata wapi Madirisha ya alminium kwa bei nafuu

    Mzee nahitaji madirisha 5kwa6 13 kwa Tshs 230,000/= na 3kwa2 Tshs 90,000/= 230,000*13=2,990,000 90,000*4 = 360,000 Jumla 3,350,000 kama unakubali offer tufanyabiashara
  7. N

    JamiiForums Tanzania Naweza pata wapi Madirisha ya alminium kwa bei nafuu

    one way
  8. N

    JamiiForums Tanzania Naweza pata wapi Madirisha ya alminium kwa bei nafuu

    Nipo Dar es salaam nafanya kazi posta ila nakaa mlandizi
  9. N

    JamiiForums Tanzania Naweza pata wapi Madirisha ya alminium kwa bei nafuu

    Jamani naomba mnijuze wapi naweza pata madirisha ya alminium kwa bei nafuu Madirisha yapo kumi na tatu yana ukubwa wa 5 kwa 6 feet, na 2 kwa3 yapo manne
  10. N

    JamiiForums Tanzania Naitaji Rav 4 ya 5 doors kwa 6milion

    Bei ya chini sana Rav4 milango minne milioni15 for new model na 12 for old model
  11. N

    JamiiForums Tanzania Vurugu Z'bar:Askari mwingine auawa

    hapo kazi ipo haya nilikuwa napita tu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

    hapo amekosa vijisenti vyako tu ila hana kabisa mapenzi simu yake ilipokuwa bize alikuwa anawasiliana na mpenzi wake kumueleza kuwa anajaribu kuirudisha ATM yake ili ipatikane fedha ya kwenda kutumia.
  13. N

    JamiiForums Tanzania handle ya kushikia vioo vya mbele sitemiro za RAV4

    Jamani nisaidieni nipate handle kile kifaa kinachoshika vioo vya mbele vya RAV4
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hodihodi wajameni

    Hodi jamani nzobanga najiunga nayi kwenye mdahalo wa kungangiana mawazo
Back
Top Bottom