Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

Naombeni ushauri kuhusu huyu binti.

wewe jamaa unaonesha mkweli sana, ujaficha chote chote, coz umesema kakutamkia hakutak na wala umvutii ila wewe bado unaendelea kumuonga tu, te teh te te teh teh kuna mtu kakuambia angalia husije onga mpaka urithi..... Lol
Ushauri; uyo demu ni kicheche tu kakuona wewe ATM yake, girl wapo kibao mjini hapa tena wazuri kumshinda yeye so choose your way broda.
 
mpaka uambiwe hauvutii dharau gani hiyo we bado upo tu maskini endelea kuhonga
 
Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria mtu unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchukia sana,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?

wote hamjiamini na hamjui mnataka nini
 
Mkuu umenikumbusha wimbo wa zamani sana!watu wengine huwa wanajitafutia ugonjwa wa moyo wenyewe sometimes kuna maamuzi hayatakiwi kuusikiliza moyo wala kile kichwa kingine

Ni kweli, kibao cha muda hicho naumbu; Tatizo watu tunapenda sana kusumbukia yasiyosumbukiwa....
 
kumbuka mara nyingi wanawake wana wanaume wa kuwa tumia kama M-pesa (KUWACHUNA TU ), wakuspendi nao na wakufanya nao mapenzi. sasa jiulize kati ya hawa watatu wewe huyo demu anakuweka kundi gani. FUMBUKA KAKA
 
Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria mtu unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchukia sana,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?

Anashida huyo binti anataka kukutumia kama daraja,kisiki hicho mkuu hukioni?hebu kiruke bwana usiniangushe.
 
tulia weka mpira chini cheza samba. sasa ni muda wako wa kumtumia, si kasema anakupenda sasa, omba mechi kimemba haina kutoa hata senti, tena kama una geto mwite geto ujaribu kumchinja, kama huna mwambie naomba nikutoe out nahitaji tuongee zaidi kuhusu mapenzi yetu, ukifika we macho kwenye pussy tu, no giving money, akizingua sasa kutoa mchezo, mchinjie majini, akikupa basi piga kimemba huku unamsoma mwenendo wake umekaaje.
 
Hivi hawa vijana wa siku hizi wakoje? au ndio madhara shule za kata hizi? Aaah!
 
duh...
ukisikia babu jinga ndo wewe....

umsome nini hapo tena
shukuru yameisha,move on...
au unataka uchunwe mpaka urithi ????

Jamani mbavu sina hapa nimecheka hadi watu wananishangaa lol hadi urithi hii kali
 
shituka kaka asiekupenda achana nae huyo kesha kusoma unampenda tena sana kilichobaki ....atakwambia amekukubalia na atakwmbia kwamba alikuwa anakusoma kama unamsimamo na kama kweli ulikuwa unampenda...baada ya hapo utaanza kuchunwa balaaa...mpaka mali za urithi atakuchuna kwa jinsi nilivyomsoma huyo mdada.....amka mkuu mjini shule
 
hapo amekosa vijisenti vyako tu ila hana kabisa mapenzi simu yake ilipokuwa bize alikuwa anawasiliana na mpenzi wake kumueleza kuwa anajaribu kuirudisha ATM yake ili ipatikane fedha ya kwenda kutumia.
 
Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria mtu unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchukia sana,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?

wee vp bana piga chini haina kulemba ohho hakuna cha reversible reaction wala chemistry ,mpige chini bana hakufai kwa lolote huyu zandiki tu tena namba yake delete kabsaa
 
tulia weka mpira chini cheza samba. sasa ni muda wako wa kumtumia, si kasema anakupenda sasa, omba mechi kimemba haina kutoa hata senti, tena kama una geto mwite geto ujaribu kumchinja, kama huna mwambie naomba nikutoe out nahitaji tuongee zaidi kuhusu mapenzi yetu, ukifika we macho kwenye pussy tu, no giving money, akizingua sasa kutoa mchezo, mchinjie majini, akikupa basi piga kimemba huku unamsoma mwenendo wake umekaaje.
dah yani achinje bata laivu! dah hapana bana kama hamfeel amwache asepe tu sio vizuri kuchinja bata afu unasepa
 
lol, nimeipenda hiyo.
Endelea kuchunwa, inaelekea unafurahia.
AmaKweli kupenda kubaya, bora niendelee kuwa single.

safi sana, single boy tumeongezeka, ila mi nikimshika demu namgonga, baada ya hapo nyama yangu nyama yake, hii ya kuumizwa nishaitema mda, ya nini niumizwe jamani ilihali mi bado ni kijana
 
Huyo ni chizi kimbiaaa.

Kuna binti mmoja niliwahi kumtongoza akanikataa,basi me nikabembeleza sana ila akawa amebaki na msimamo wake,kwa kweli huyu binti nilitokea kumpenda sana na ikafikia hadi hatua nikawa namhonga nikitegemea labda atabadili msimamo wake,cku aliyonivunja moyo ni cku ambayo aliniambia kwamba hataki kuwa mpenzi wangu kwa sababu sina mvuto so kwa kifupi simvutii{fikiria mtu unavojickia ukiambiwa hayo maneno weather ni kweli huna mvuto or not}kwa kweli nilijickia vibaya sana na ikumbukwe kwamba huyu binti nilikua namsaidia mambo mbalimbali ya kimaisha,basi me nikaona kama amenidharau to the maximum,nikakata misaada yote ambayo nilikua naitoa kwake coz nilijua hata nimpe nini ni ngumu kumpata,nikawa nawasliana nae mara moja moja ili kumfanya asigundue kwamba niliudhka na yale maneno yake,sasa imèfika jana ucku akanitumia sms akinitakia usiku mwema,mie nikamjibu to ''nawe pia gnt''baadae akanipigia simu akawa ananilalamikia kwamba cku hzi nina roho mbaya na eti namchukia sana,nikamuulza nan alimwambia kuwa namchukia akawa anapotezea,baadae ktka maongez cmu yangu ikakata charge so nikabadilisha cmu haraka haraka ili nimskilze shida yake,but nikakuta simu yake iko busy zaidi ya mara 2,me nkaamua kulala,leo tena kanitumia txt akanambia iwe mara ya mwisho mim kuwasliana nae,nikamjbu kwa nin akanambia tena mie namchukia na simpendi,nikamjbu nikamwambia simchukii na ni kweli simpend cos she is not my gal,kumwambia ivo akaja juu kwamba kumbe mda wote huo amepoteza kwangu me namchukulia poa tu,iweje leo nimwambie sio gal wangu!sijamjbu chochote mpaka saa hzi,sasa wakuu nisaidieni kuisoma chemistry ya huyu binti,yeye aliisha niambia mimi simvutii,iweje leo tena aniambie hayo maneno yake?
 
alikuumiza kwa maneno, sasa unakoelekea utaumizwa kimatendo (tangible)...delete # yake, akikupigia muulize ww nani, then delete tena, haupo upo safe side
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom