Recent content by nziku korogwe

  1. N

    JamiiForums Tanzania Ajenda hizi ni muhimu zimepuuzwa!

    Napata tabu na kiswahili chako wewe mtoa post!
  2. N

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Ccm mwaka huu kazi mnayo wapumbavu na mafala tumekwisha zinduka kutoka usingizini!
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    Mhe,Mbowe big up sana!
  4. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA wazuiwa kufanya mkutano Jangwani na Uwanja wa Taifa

    Tupo pamoja lofa na mpumbavu mwenzetu!
  5. N

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Tanga wamuunga mkono Slaa

    Mimi kama mwkt wa wilaya ya korogwe chadema, siungi mkono hata kidogo hii kauli ya kipumbavu isiyozingatia katiba ya chama chetu!
  6. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA tuache Kuzomea Wavaa Nguo za CCM

    haya majamaa au mawomen ya ccm ni kuyazomea tu... kwani yanataka kutuchelewesha kuing'oa ccm!
  7. N

    JamiiForums Tanzania Kero: TBC hamtutendei haki wananchi

    Ngoja ukawa tukichukua nchi oct,mkurugezi pamoja na vijakazi wake 'OUT'!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Ndege mbili za Airbus 320 alizoahidi JK kwa ajili ya ATC

    Bora aende akapumzike huko bwaga moyo ili mhe,Lowassa apige mzigo!
  9. N

    JamiiForums Tanzania CCM hali ni tete

    Tumewachoka kiasi kwamba hata watoto wetu wanaimba nyimbo za chadema njiani wanaporudi kutoka au kwenda mashuleni! kwaheri ccm!
  10. N

    JamiiForums Tanzania Kama Lowassa ni fisadi Kikwete ni nani?

    hata mimi kura yangu ni kwa mhe,Luwassa!
  11. N

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Sumbawanga ndugu Emmanuel Kilindi ajiuzulu

    huku Tanga wanagawa fedha,eti wanajifanya wanawakumbuka wazee! hahaaa... bado sana!
  12. N

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    huyu mtoa mada analeta ushabiki wake wa kiccm!Peleka huko uccm wako hapa ni mhe,Lowassa tu na si vinginevyo!
  13. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa anatufundisha Vijana kama ipo ipo tu!

    Mhe,Lowassa umefanya maamuzi ya busara,hongera sana! Tumepoteza kazi na kila kitu kwa ajili ya chadema!karibu korogwe mhe,rais!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Halimashauri mpya zitakazoongozwa na UKAWA

    na korogwe vijijini!
  15. N

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Nachukia Umasikini

    Leo ndiyo yalikuwa yamefunguliwa rasmi mashtaka ya ccm,huku yake ni oktoba 25 ya kunyongwa hadi kufa!
Back
Top Bottom