Nımefuatılia ılani za wagombe na washndanı wakuu kwenye kinyang'anyiro cha Urais lakini sıkuona aliyeghusıa ajenda hz:Hifadhı ya jamii,Bıma , Makazı bora,Uhıfafadhı wa mazingira na bıonuaı, madawa ya kulevya na ulevi na Diplomasıa ya kıgeni.Anayejua kuwa jambo flani katı ya hayo lımefafanuliwa kwenye ılanı ya chama flani, atujuze.