kidume chenu
Senior Member
- Jul 19, 2015
- 103
- 14
Waambie hao bwana twalib zubeir.pia km lowassa ni mwizi mbona hawamfungulii kesi.wezi ni huyo rais mkwele na viongoxi wote wa chukua chako mapema
Huu uzi ni wa ovyo sana, hujanishawishi nipige kura yangu hapa yupi anafaa wakati ndani ya uzi umeleta ushabiki. Kajipange upya.
wadau wa jukwaa hili, napenda mtoe michango yenu katika mpambano huu wa wagombea hawa wawili wa urais, John Magufuli kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) niliyemuita JM na Edward Lowassa wa Ukawa niliyemuita ED mpenda urais ili kupitia kura za yupi anafaa kuwa rais zitawasaidia Watanzania kumchagua rais anayefaa kuliongoza taifa letu hapo Oktoba 25 mwaka huu.
Viongozi hao kila mmoja ana sifa zake lakini yupo ambaye anamzidi mwenzake. Kwa kuanza, mimi kwa asilimia mia moja kura yangu ya ndiyo itakwenda kwa Magufuli kwa sababu hana kashfa kama alivyo Lowassa ambaye kwa asilimia kubwa ana kashfa za ufisadi ikiwa ni pamoja na kuwaletea usanii Watanzania enzi akiwa waziri mkuu aliposema kwamba angetuletea mvua za kutengeneza. Huo ulikuwa ni usanii wa hali ya juu. Haya uwanja upo wazi.
Lowassa kawanunua matahila ikiwa yanatambua ni moja ya watu janga la taifa
hoja yako inanuka mavis!!!!!gamba wewe. Ukawa ushindi lazima!!!nchi ilikwisha uzwa na ccm sasa tunaikomboa!!!
Wote wanatuhuma za ufisadi, hakuna msafi kati yao. Watanzania tunataka mabadiliko ya kimfumo ambayo hatuwezi kuyapata ccm kutokana na dhana ya kulindana ndio myyana ED ni bora kuliko JM.
Huu uzi ni wa ovyo sana, hujanishawishi nipige kura yangu hapa yupi anafaa wakati ndani ya uzi umeleta ushabiki. Kajipange upya.
Najua hamtaamini yatayotokea mtoto wa mzee Joseph atakapo ibuka na ushindi wa kishindo...kura nyingi zitapigwa asubuhi na mapema....mtalalamika sana oooh tumeibiwa.....oooh hivi na vile...
Magufuri hata Mimi nikisimama nae UKAWA atasingizia nimetumwa kumharibia kura kanda ya ziwa. Huku kanda ya ziwa anategemea kura za wanafunzi wake aliokuwa anawafundisha kukariri Chemistry na Physics pale Sengerema Secondary.
Najua hamtaamini yatayotokea mtoto wa mzee Joseph atakapo ibuka na ushindi wa kishindo...kura nyingi zitapigwa asubuhi na mapema....mtalalamika sana oooh tumeibiwa.....oooh hivi na vile...