Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,092
- 136,654
Mkuu. We ni Nyani Ngabu kweli au una bifu na Nyani Ngabu? Naona tangu juzi umekazana kweli na comment hii hii. Samahani kama nimekukwaza lakini nauliza kwani naona umejifunga kibwebwe kuhakikisha watu wanafahamu kuwa Nyani Ngabu ndiye Richard Mugizi. Kuna ulazima wa kufanya hivyo?
Hahaaa ndugu, wala usiwe na shaka.
Mimi wala siitwi Richard Mugizi ila kuna mjinga mmoja anadhani mi naitwa hivyo.
Kwa hiyo nam-lampoon tu.