Recent content by NZEGAMILA

  1. N

    PICHA: Mererani mwanajeshi ajitoa mhanga

    Tutaskia kama ni kweli au uhuni.ila kama kweli jamaa ajiandae kutafuta kazi nyingine si jeshi tena.
  2. N

    PAID INTERNSHIP OPPORTUNITY:WORLD VISION ( ARUSHA residents only):

    NZIRIYE English isn't my mother tongue.Again i'm a human being and can do mistakes like others.HOW about you? Do you think your are the best Englishman in the world? NO! You just concetrate on developmental issues and not like that one you have commented.
  3. N

    KARIBUNI www.ajira.org

    Thank you very much,ntaitembelea
  4. N

    High quality vision research company(hqrv)

    Wez hao! Kama vp waambie wakutumie full address yao pamoja na headquarters zao.
  5. N

    PAID INTERNSHIP OPPORTUNITY:WORLD VISION ( ARUSHA residents only):

    I'm very interested with It.The only problem is that i'm still studying-A finalist pursuing a bachelor of arts in project planning management and community development(BA PPM&CD) University of Dodoma.I Would like to know if the programme will be on progress till jully when i will already have...
  6. N

    Programme Personel Officer (18 posts)

    Ubaguz huu ni wa hali ya juu.Mnatufanya tuwe na mashaka na chuo chenu.Inaelekea mnasambaza fikra za udin,ukabila urangi umkoa uwilaya,ukijiji,ufamilia na up.u.u.zi.in general.
  7. N

    Kongamano la vijana waliomaliza vyuo na hawana ajira

    Heshma yako mkuu mwenye wazo.ni wazo zuri,ila sishauri kuwa na chama maana kitahitaji mwenyekiti na katibu wasio na ajira,kuwalipa inshu.pawepo na kongamano au club le/yenye lengo hilo.Ila wenye mwenyewe shirikiana na wataalamu wengine muandae proposal juu ya kongamano hilo ili kupata ufadhili.
  8. N

    Hatimaye majina ya walioficha pesa Uswisi yaanza kutoka taratibu!

    Pamoja na kutajwa kwao,watanzania tusiridhike kuwafahamu na wengine kuishia kuwacheka tu.Furaha yetu ikamilike kwa kuona haki inatendeka yaani wanachukuliwa hatua stahiki.
  9. N

    Hawa ndio washindi kuingia NEC ya CCM kwa uchaguzi wa Nov 11, 2012

    Kazi kwao.waacheni wapigane vijembe na kuchafuana kama Bashe vs Membe sisi tunawasikilizia tu.
  10. N

    Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

    Sijui tunaenda wapi!Polisi wanatakiwa kulinda raia,lakin siku hiz wanaua watu wasiobeba hata jiwe.daaah!ngoja tusubir kama kwel hakitatendeka au ule usemi usemao"DUNIANI HAMNA HAKI BALI MBINGUNI"Utajidhihirisha.Apumzike kwa Aman Amina.
  11. N

    Mauaji ya Mwangosi: Ushahidi zaidi wa picha

    Sijui tunaenda wapi!Polisi wanatakiwa kulinda raia,lakin siku hiz wanaua watu wasiobeba hata jiwe.daaah!ngoja tusubir kama kwel hakitatendeka au ule usemi usemao"DUNIANI HAMNA HAKI BALI MBINGUNI"Utajidhihirisha.Apumzike kwa Aman Amina.
  12. N

    Tanzania Daima, Nipashe kudaiwa mill 1000 kwa upotoshaji wa tukio la UAMSHO

    Wanauamsho nina swali kwenu,endapo litajibiwa kiusahihi nitawaona mna sababu za msingi.Serikali ya jamhuri ya muungano ya Tanzania inaamin kuwa Mungu yupo na watu wake wana njia(Dini) tofautitofauti za kumwamin na kumfikia Mungu,lakini haina dini ndiyo maana suala la dini si moja ya masuala ya...
Back
Top Bottom