KARIBUNI www.ajira.org

Chloe O'brian

Member
Dec 22, 2010
41
0
Wadau wa soko la ajira nchini Tanzania, wanaotafuta kazi, waajiri, na waajiriwa.
Tunapenda kuwakaribisha kwenye site mpya ambayo ni forum na blog, site hii itakuwa na jukumu la kuwapatia watanzania ukumbi kwa ajili ya mambo mbali mbali yahusuyo ajira.

Karibuni sana:

www.ajira.org
 
neemsy

Member
Oct 18, 2012
41
95

Asante. Kama mdau ningeomba utufafanulie ni kitu gani extra tutapata ajira.org ambacho ni zaidi ya forum zingine na blog za kazi. Labda itatuhamasisha zaidi kutembelea hiyo website.
 
Chloe O'brian

Member
Dec 22, 2010
41
0
Asante. Kama mdau ningeomba utufafanulie ni kitu gani extra tutapata ajira.org ambacho ni zaidi ya forum zingine na blog za kazi. Labda itatuhamasisha zaidi kutembelea hiyo website.
Ahsante sana kwa swali lako neemsy
Kama umepata muda wa kutembelea ajira.org, utaona forum zilizopo ndani yake, so far Tanzania sijaona site yoyote ambayo ni maalum kwa ajili ya kuwakutanisha wadau wa soko la ajira kwa kila mmoja na shida yake (kama ipo naomba unifahamishe). Kwa mfano unahitaji msaada wa sheria baada ya kufukuzwa kazi, au kwa mfano unafanyiwa harassment katika eneo lako la kazi, site ambayo itakuwa DEDICATED kwa asilimia 100% kuzungumzia mambo mbali mbali yanayoendelea katika sekta ya ajira tunatarajia iwe ni ajira.org (kama jina lake lilivyo). Kumbuka AJIRA ni UWANJA MPANA SANA, ndani yake kuna vitu vingi (mf. Ujasiriamali, watafuta kazi, watafuta wafanyakazi, wanaoonewa, wanaotafuta msaada, na mengineyo meeeeeeeeeeeeeeeengi).

Karibu sana ndugu.
 
Last edited by a moderator:

Mario Gomez

JF-Expert Member
Nov 1, 2011
526
250
Asante mkuu kwa kutuongezea nafasi nyingine ya kupata kazi ila ushauri wangu ni kwamba kwa haraka haraka tu nimekwenda ajira.org na kukuta nafasi za kazi milizo post ni za zamani mno.Mfano ziko za tangu December,2012.Ushauri wangu naomba mjitahidi ku update nafasi zenu za kazi mnazozitangaza,otherwise tunakushukuru kwa kuwa na wigo mpana wa mambo mengi katika web yenu kama ulivyoeleza hapo juu,thanks.
 
Top Bottom