High quality vision research company(hqrv)

Peter M

Member
Oct 2, 2012
7
20
Mwenye information kuhusu hii company naomba anisaidie. Walitangaza kazi za Research assistant kwenye zoom wanataka nicomferm kazi lakini nilipe 10,000 kwa mpesa au tigopesa! sijawaelewa hapo! naombeni msaada wenu.
 
Agrodealer

Senior Member
Mar 19, 2011
108
0
Mwenye information kuhusu hii company naomba anisaidie. Walitangaza kazi za Research assistant kwenye zoom wanataka nicomferm kazi lakini nilipe 10,000 kwa mpesa au tigopesa! sijawaelewa hapo! naombeni msaada wenu.
Hahahahah umefanya vizur mana na mimi niliomba wakanitumia email na document fulani hiv ila kilichonishangaza ile mesege imeandikwa kiingereza kigumu kiasi kwamba kuna baadhi ya maneno yaninishinda halafu haiendani na messege iliyoiko kwenye document. Kingine kama ni Research company mbona wasiweke bank acc. wakaweka m pesa, tigo na airtel money? Hawasomeki kaka ni utata hata me cjacomferm bado

hapa ndo mashaka yanapotokea elfu 10 ni nyingi sana.
 
Top Bottom