Recent content by nzagamban

  1. N

    JamiiForums Tanzania Kati ya hawa wawili nani mpumbavu na lofa?

    Pumbavu/----/lofa ni yule anae ongoza watu pasipo waletea mabadiliko kwa muda wote wa uongozi wake! Msimbati hatuna umeme na ndo gas inatoka hukuhuku! Bagamoyo hatukutaka boat linaloishia mbegani tulitaka usafiri wa uwakika sio masaa matatu baharini! MENGINE WAULIZENI WAFANYAKAZI WA WIZARA YA...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Walioitwa kwenye usahili TBS

    Hongereni mliopata nafasi. KUITWA KWENYE USAILI Shirika la Viwango Tanzania linapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi za Inspection Technician II,Records Management Assistant II, Ispection Technician II (Deep sea) na Quality Assurance Officer II (Electrical Engineer) kuwa wafuatao...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wale waliozaliwa na waliowahi kuishi Tabora, tukumbushane vituko vya Mboka

    Kwa mnaokumbuka Tabora Boyz miaka ya 70s na Mh. Ma------ meya wa dar es salaam leo kuna bibi alikuwa mpishi pale jikoni akiitwa Khadija Kibadeni.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Week mbili za majibu tbs

    tuseme kuna candidates walisha julishwa
  5. N

    JamiiForums Tanzania Week mbili za majibu tbs

    Jamani samahani yoyote mwenye majibu kuhusu TBS kwani watu walifanya mtihani wakambiwa majibu baada ya week mbili paka sasa ni mwezi umepita.
  6. N

    JamiiForums Tanzania All about love...,game tamu huchukua dakika tatu hadi 13 tu..,,,

    samahani nimekosea room nina miaka 7 nimechukua Tap ya baba natoka humu ila nimesoma ntamsimulia mama.:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
  7. N

    JamiiForums Tanzania Vodacom Wajanja Night sio unlimited tena

    voda:A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103::A S 103:
  8. N

    JamiiForums Tanzania Natamani kurudi Tanzania,ndugu zangu wananitisha,naomba ushauri

    kama yupo dodoma mwambie asubili tunajenga daraja la kudumu kuja dar
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwa wale degree holders mnaotaka kujiunga na JWTZ

    :A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S thumbs_up:
  10. N

    JamiiForums Tanzania Ajira za kumwaga 190 jeshi la zima moto na uokoaji

    Tutazima moto maji yapo wapi au ndo matatizo na wananchi?
Back
Top Bottom