Kati ya hawa wawili nani mpumbavu na lofa?

Kati ya hawa wawili nani mpumbavu na lofa?

KOROGOSHO

Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
10
Reaction score
4
Wadau naombeni mnijuze nani mpumbavu na lofa kati ya mtu anayeishabikia upinzani na mtu ambaye wanawake wako wengi lakini hakuona mke wa kuoa akaenda kuchukua mke wa mwenzake pamoja na watoto na kuwalea..a.k.a pimbi mmoja ivi
 
Kua Straight, ili haka kauzi kako tukaforward tar mosi september tukutafute utueleze vizuri. Pumbavu wewe
 
Wapumbavu ni nyie ambao mnapoteza kumbukumbu haraka kuhusu Kiwira
 
yaani una maanisha analewa watoto wa wenzie yeye vipi mchicha mwiba au?
 
Pumbavu/----/lofa ni yule anae ongoza watu pasipo waletea mabadiliko kwa muda wote wa uongozi wake! Msimbati hatuna umeme na ndo gas inatoka hukuhuku! Bagamoyo hatukutaka boat linaloishia mbegani tulitaka usafiri wa uwakika sio masaa matatu baharini! MENGINE WAULIZENI WAFANYAKAZI WA WIZARA YA UJENZI vikosi vya UFUNDI NA UMEME, MAJENGO watawambia UPUMBAVU na UFALA wa Mh Rais anaegombea!
 
Back
Top Bottom