Recent content by nYuni the Great

  1. nYuni the Great

    Guardiola atamaliza nje ya Top 4

    TOP 4 YANGU YA EPL YA MWISHO WA MSIMU. (1) Chalsea (2) Liverpool (3) Arsenal (4)Manchester united. TOP 6 YANGU YA EPL YA MWISHO WA MSIMU (1) Chelsea mm (2) Liverpool (3) Arsenal (4) Manchester united (5) Manchester city...
  2. nYuni the Great

    Mliofundishwa unyago njooni mtufundishe hapa

    Hahahah[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
  3. nYuni the Great

    Rais Magufuli: Namshukuru Waziri wa Nishati na Madini kwa kutengua upandishaji wa bei ya umeme

    Nakumbuka mwishoni wa mwezi wa 11/2016, wananchi tuliitwa kwenye vikao vya mapendekezo ya kupandishwa Bei ya Umeme pale millennium tower, vikao vilivyoongozwa na EWURA pamoja na TANESCO. Kwa maoni ya wananchi pale kwenye kikao tulipinga kwa 100% kupanda kwa ongezeko la bei . Sasa kilichotokea...
  4. nYuni the Great

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    KWA WOTE WALIO COMMENTS UPUMBAVU NDIO WAHASIRIKA WAKUBWA WA PUNYETO. KITU CHOCHOTE KILICHO KATAZWA KWENYE VITABU TAKATIFU NA MAABARA LA ZIMA KITAKU NA MAZARA TU JUU YAKO, KWAHIYO UNAEJIAIFIA UMEPIGA NYETO MIAKA 15 BILA EFFECT YOYOTE, SASA SUBIRIA MREJESHO WAKO.
  5. nYuni the Great

    Zari the boss lady akiwa katika vazi la ufukweni!!!

    Hats mimi pia naujua
  6. nYuni the Great

    Wanawake tunakuwa na thamani pale tunakuwa tumevaa nguo

    Amna lolote,...mwanamke kwa mwanaume ni kama mfupa na fisi.
  7. nYuni the Great

    Msaada: Kilwa ni hotel gani nzuri kupumzika na familia?

    KILWA STAR ndio Hotel nzuri au KILWA PAKAYA (KILWA NYUMBANI) zote zipo Kilwa masoko
  8. nYuni the Great

    Top Secret: Nyaraka Namba 12333 kutoka Whitehouse

    @ The Bold Kama itawezekana iwe unanitumia mimi kwenye Pm maada tamu Kama izi.
  9. nYuni the Great

    Miss world 2016:: Diana luqumay ashindwa kuingia top twenty

    Na Arudi nymbani aje kuwa Video queen tu, miss Tanzania awana jipya.
  10. nYuni the Great

    Mwanaume kuvaa Nguo ya ndani ya mwanamke?? Au hii danganya toto

    Hapo inategemeana na huyo Best wako na Boyfriend wake wamejizoesha vipi au wamejiwekea utaratibu upi? Maana hata mimi kabla sija hamua kuvaa izo CHUPI nilianza kumwambia kwanza Girlfriend wangu na tukakubaliana. Kwahiyo nikisafiri yeye mwenyewe ndio ananiwekea kwenye Begi langu .
  11. nYuni the Great

    Mwanaume kuvaa Nguo ya ndani ya mwanamke?? Au hii danganya toto

    Hata mimi uwaga navaaga CHUPI za Girlfriend wangu, ila ninapo kuwa safarini kikazi navaa Kama ishara ya kumkumbuka mpenzi wangu na kuonyesha mapenzi ya dhati kwake. Na hata nikipata mchepuko namuonyesha kabisa Kama nimevaa CHUPI YA KIKE.
  12. nYuni the Great

    Nahitaji kusafiri kwenda Argentina

    Njoo pm nikuelekeze mimi mwenzio nimeshapata information juu ya visa ya Brunei
  13. nYuni the Great

    Asante Majizo na TV E

    Wametepeta hao wanaojiita watoto wa mjengoni
Back
Top Bottom