mtotomtamuu
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 602
- 1,464
Mda mfupi uliopita miss world website wametoa list ya walioingia top twenty
Tanzania hatupo..kenya wameingia
Tanzania hatupo..kenya wameingia
Let's take as a challengeMda mfupi uliopita miss world website wametoa list ya walioingia top twenty
Tanzania hatupo..kenya wameingiaView attachment 447969
Itakua ni mambo ya kupigiana kura tu, japo miss wetu hakuwa kiwango kivile kimuonekano lakini wa kenya ni mbovu zaidiAisee kumbe wadada wa Kenya ni warembo sana